Uchaguzi 2020 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitashinda kwa kishindo

Uchaguzi 2020 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitashinda kwa kishindo

Niseme Ukweli Japo Kuwa Mchungu Sisi Wana CCM Bila Haya Mambo Matatu Kwa Chadema Sisi Ni Weupeee
Bila Kuwahonga Wananchi Kofia Na Khanga
Bila Kuandikisha Makaburi Na Kuyafanya Yanapiga Kura
Bila Bao La Mkono
Mlinitia Aibu Kwenye Uchaguz Fulani Mkoa Fulani Picha Likaanza Kura Za Maoni Kupambanisha Wagombea Wawili Mwanzoni Katika Mchuano Wote Wakawa Wametoka Sare Moja Moja Ikabidi Mech Irudiwe Ile Kurudiwa Ushindi Ukatoka 5_2 hapo wagombea wote ccm nikabaki nashangaa imekuwaje ilikuwa 5_5 sasa hivi tu 5-2 wachezaji walewale waamuzi walewale na hakuna kilichoongezeka nakuja kupata taarifa za nyuma ya panzia jamaa alikuwa anagawa ten ten choon nikasema dah upinzani hawatuwez hapa tu mechi ya nyumban je ugenini ndio hivyo wana ccm wenzangu tukiacha hutu tumichezo chamwino tutapasikia tu

Umepotea wewe. Ajua, rudi nyuma uanze tena...

Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kitashinda kwa kishindo Urais wa Tanganyika na JMT na ACT - WAZALENDO watashinda kwa kishindo Urais na majimbo mengi kuliko CCM huko Zanzibar....!!
 
Mpaka Sasa hakuna mpinzani wa CCM, hajazaliwa bado

Ni kweli, maana chama cha kijeshi na vyama vya siasa ni wapi na wapi? Ni wazi chama cha kijeshi lazima kitatangazwa washindi.
 
Ni kweli, maana chama cha kijeshi na vyama vya siasa ni wapi na wapi? Ni wazi chama cha kijeshi lazima kitatangazwa washindi.
Hizo ni hadithi tu ni kama ile hadithi ya "sizitaki mbichi hizi"
 
Back
Top Bottom