DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Licha ya upinzani mkubwa wa sera na mipango mikubwa ya Chadema ni wazi CCM ni mshindi mpaka sasa Kwa sababu hawa Chadema wenye wafuasi wengi hawatashiriki uchaguzi.
CCM Wana Hela za kutosha hawana tone Kwa tone, Wana vyombo vya ulinzi Wana watumishi wa Umma kama walimu ambao wao Kila kitu kuhusu CCM ni yes.
Huwezi kuwatoa CCM madarakani Kwa kauli tu za No reforms No election huku nikupigana nje ya uwanja na wakati walipaswa kupigana Kwa kushiriki uchaguzi mkuu.
Hivi wadau Kuna Chama kimewahi kutolewa madarakani Kwa mtindo wa Chadema wanavyotaka?