Andiko bora kabisaHuwezi kushindana na nyakati
Utapata USHINDI wa muda lakini historia itakuhukumu yuko wapi Magufuli aliyeongoza kwa mkono wa Chuma
Maendeleo hayawezi kuwa mbdala wa uhuru na haki za watu. Uongozi sio nafasi tuu, uongozi ni uhalali wa kukaa katika nafasi na kuamua kwa niaba ya waliokupa hiyo nafasi.
Tanzania ilipata uhuru bila kumwaga damu na CCM itatoka kwa njia hiyohiyo
ni ujinga kusema mnashinda kwenye jambo ambalo haliko kiushindani. Mungu hadhihakiwi.Licha ya upinzani mkubwa wa sera na mipango mikubwa ya Chadema ni wazi CCM ni mshindi mpaka sasa Kwa sababu hawa Chadema wenye wafuasi wengi hawatadhiriki uchaguzi CCM Wana Hela za kutosha hawana tone Kwa tone,Wana vyombo vya ulinzi Wana watumishi wa Umma kama walimu ambao wao Kila kitu kuhusu CCM ni yes.
Huwezi kuwatia CCM madarkani Kwa kauli tu za No reforms No election huku nikupigana nje ya uwanja na wakati walipaswa kupigana Kwa kushiriki uchaguzi mkuu.
Ivi wadamu Kuna Chama kimewahi kutolewa madarkani Kwa mtindo wa Chadem wanavyotaka?
View attachment 3362686
CCM Nambari Wani! Ushindi ni LAZIMA. Kazi na Utu. Kazi Inaendelee!!!Licha ya upinzani mkubwa wa sera na mipango mikubwa ya Chadema ni wazi CCM ni mshindi mpaka sasa Kwa sababu hawa Chadema wenye wafuasi wengi hawatashiriki uchaguzi.
CCM Wana Hela za kutosha hawana tone Kwa tone, Wana vyombo vya ulinzi Wana watumishi wa Umma kama walimu ambao wao Kila kitu kuhusu CCM ni yes.
Huwezi kuwatoa CCM madarakani Kwa kauli tu za No reforms No election huku nikupigana nje ya uwanja na wakati walipaswa kupigana Kwa kushiriki uchaguzi mkuu.
Hivi wadau Kuna Chama kimewahi kutolewa madarakani Kwa mtindo wa Chadema wanavyotaka?
View attachment 3362686
Unashindaje bila kushindana.Licha ya upinzani mkubwa wa sera na mipango mikubwa ya Chadema ni wazi CCM ni mshindi mpaka sasa Kwa sababu hawa Chadema wenye wafuasi wengi hawatashiriki uchaguzi.
CCM Wana Hela za kutosha hawana tone Kwa tone, Wana vyombo vya ulinzi Wana watumishi wa Umma kama walimu ambao wao Kila kitu kuhusu CCM ni yes.
Huwezi kuwatoa CCM madarakani Kwa kauli tu za No reforms No election huku nikupigana nje ya uwanja na wakati walipaswa kupigana Kwa kushiriki uchaguzi mkuu.
Hivi wadau Kuna Chama kimewahi kutolewa madarakani Kwa mtindo wa Chadema wanavyotaka?
View attachment 3362686
Ule unakuwa msimamo wa Chama ila yeye anawaambia wahusika kazi na umriHivi mfano Wasira anaposema hawataaihirsha uchaguzi ng'oo
Anakuwa amejipositionje na haoni kwa kusema hivyo inaonesha yeye ndio anaamua? Ikiwa yeye ndio anaamua kwa mwana ya chama haoni shida ndio ipo hapo?
Mabadiliko ni muhimu!
Kwahiyo Chama ndio kinaamua juu ya uchaguzi na mambo yake yoteUle unakuwa msimamo wa Chama ila yeye anawaambia wahusika kazi na umri
chama ambacho hakijali uhalali wa kuchaguliwa na wananchi ni chama kilichokataliwaHuwezi kushindana na nyakati
Utapata USHINDI wa muda lakini historia itakuhukumu yuko wapi Magufuli aliyeongoza kwa mkono wa Chuma
Maendeleo hayawezi kuwa mbdala wa uhuru na haki za watu. Uongozi sio nafasi tuu, uongozi ni uhalali wa kukaa katika nafasi na kuamua kwa niaba ya waliokupa hiyo nafasi.
Tanzania ilipata uhuru bila kumwaga damu na CCM itatoka kwa njia hiyohiyo
No Reform No ElectionLicha ya upinzani mkubwa wa sera na mipango mikubwa ya Chadema ni wazi CCM ni mshindi mpaka sasa Kwa sababu hawa Chadema wenye wafuasi wengi hawatashiriki uchaguzi.
CCM Wana Hela za kutosha hawana tone Kwa tone, Wana vyombo vya ulinzi Wana watumishi wa Umma kama walimu ambao wao Kila kitu kuhusu CCM ni yes.
Huwezi kuwatoa CCM madarakani Kwa kauli tu za No reforms No election huku nikupigana nje ya uwanja na wakati walipaswa kupigana Kwa kushiriki uchaguzi mkuu.
Hivi wadau Kuna Chama kimewahi kutolewa madarakani Kwa mtindo wa Chadema wanavyotaka?
View attachment 3362686
HAKIKAHuwezi kushindana na nyakati
Utapata USHINDI wa muda lakini historia itakuhukumu yuko wapi Magufuli aliyeongoza kwa mkono wa Chuma
Maendeleo hayawezi kuwa mbdala wa uhuru na haki za watu. Uongozi sio nafasi tuu, uongozi ni uhalali wa kukaa katika nafasi na kuamua kwa niaba ya waliokupa hiyo nafasi.
Tanzania ilipata uhuru bila kumwaga damu na CCM itatoka kwa njia hiyohiyo
Tuzidi kuomba atende jambo kabla ya uchaguzi.ni ujinga kusema mnashinda kwenye jambo ambalo haliko kiushindani. Mungu hadhihakiwi.
Kwa wizi na kwa kutumia tume zao za uchaguzi walizochagua wao.Licha ya upinzani mkubwa wa sera na mipango mikubwa ya Chadema ni wazi CCM ni mshindi mpaka sasa Kwa sababu hawa Chadema wenye wafuasi wengi hawatashiriki uchaguzi.
CCM Wana Hela za kutosha hawana tone Kwa tone, Wana vyombo vya ulinzi Wana watumishi wa Umma kama walimu ambao wao Kila kitu kuhusu CCM ni yes.
Huwezi kuwatoa CCM madarakani Kwa kauli tu za No reforms No election huku nikupigana nje ya uwanja na wakati walipaswa kupigana Kwa kushiriki uchaguzi mkuu.
Hivi wadau Kuna Chama kimewahi kutolewa madarakani Kwa mtindo wa Chadema wanavyotaka?
View attachment 3362686
Licha ya upinzani mkubwa wa sera na mipango mikubwa ya Chadema ni wazi CCM ni mshindi mpaka sasa Kwa sababu hawa Chadema wenye wafuasi wengi hawatashiriki uchaguzi.