PreGE2025 Chama Cha mapinduzi CCM kitashinda Uchaguzi Mkuu 2025 Kwa kishindo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwa hiyo kwa kuwa Magufuli hayupo wewe utaishi milele hapa duniani?

Kufa ni sawa na kuzaliwa mkuu hakuna anayejua atakufa lini kama ilivyo kuzaliwa. Mimi nafikiri mbaya zaidi ni kuendelea kuwa duniani wakati ukiendelea kupata mateso makubwa kama unayopata wewe sasa hivi! Pole sana mkuu!!
 
Pole sana kwa kuwa mmojawapo wa watesaji wa watu.
 
Reactions: UCD
Kama kwenye mchakato wa ndani wa kuchagua wagombea wanapitishwa ambao hawakushinda tena ni kwa rushwa kubwa na mapenzi ya mtu binafsi, watashindwa vipi kufanya udanganyifu kwenye uchaguzi mkuu
 
Viongozi wa juu wa CCM waliwahi kusema hivi, Karume aliyekuwa rais Zanzibar "CCM haijawahi kushinda uchaguzi".
Nape, aliyekuwa waziri, CCM tunazo mbinu nyingi za kushinda uchaguzi pamoja na goli la mkono.
Wassira, alitumia mbinu haramu akaishia kifungo cha miaka mitano kutoshiriki kugombea ubunge na ndio ukawa mwisho wake wa ubunge.
 
Kama kwenye mchakato wa ndani wa kuchagua wagombea wanapitishwa ambao hawakushinda tena ni kwa rushwa kubwa na mapenzi ya mtu binafsi, watashindwa vipi kufanya udanganyifu kwenye uchaguzi mkuu
Wanaamua wao nani awe kiongozi na nani asiwe kiongozi.Pia wanaamua wao nani awe hai na nani apotezwe kwa muda wanaotaka wao.Watanzania tuko kama kuku kwa CCM.
 
Wajinga wajinga kama wewe na wenzio wengi mnapo furahia CCM kushinda uchaguzi kwa kishindo wenzenu wenyewe walio wazidi ujanja na wanao watumia kupitisha ajenda zao za kuifilisi nchi wao wanafurahia kuendelea kuifaidi nchi kwa madili ya wizi wa mali za umma ,miradi ya wizi na kujitajirisha kwa mara nyingine tena chini ya huyu mwana mama mzembe mzembe mtoa rushwa kubwa kubwa asiye elewa lolote maana kila kitu analetewa mezani, endeleeni kuunga mkono nchi kufilisiwa na wahuni mnao wafunika na kofia ya CCM huku watanganyika wakiendelee kulia na shida zile zile kila mwaka tangu uhuru
 
Hivi kwa kilichotokea 2019, 2020 na 2024 ukiwa na akili timamu unaweza kupoteza muda na raslimali zako kushiriki igizo hili la uchaguzi ilhali unajua kuwa hata ukishinda hutatangazwa kuwa umeshinda?
 
Wewe pita kwa hicho kishindo, but ukweli kumuongoza asiyekukubali ni kazi siyo ya kitoto.
 
OLE WAKE MWANANCHI ATAKAYE ENDA KUPIGA KURA
OLE WAKE MWALIMU ATAKAYE SIMAMIA UCHAGUZI
OLE WAKE MGAMBO ATAKAYE SIMAMIA UCHAGUZI

No reform no election.

Kwani CCM inashindana na nani?
 
No reforms, no elections. Elewa hilo
 

Kwa haki au kutumia njia za panya kama hizi?
 
Mtashindana na nani?

#NoReformsNoElection
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…