Chama cha Mapinduzi champongeza Rais Samia kwa kuimarisha Demokrasia

Hakika!

Rais wetu mpendwa Samia ameonyesha ushupavu wa hali ya juu.

ushupavu wake na Uimara wake alio uonyesha ndani ya muda mfupi umetufanya watanzania wote tujiamini zaidi.

tunamuomba aendelee hivyo hivyo.

tunamuombea Mungu azidi kumlinda.
kaziiendelee
 
 
Rubbish, taifa ni kama halina kiongozi vile.
 

Yaani kwenye demokrasia mbunge anagombea mwenyewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ tuna vituko sana
 
Kaziiendelee Tanzania
 
Ccm na demokrasia wapi na wapi,yaani police wasipige watu mbona Saa nne tu mapema ccm inakufa
 
Ccm pumzi imekata,miaka 60 ya UHURU imeshindwa hata kuondoa nyumba za udongo nchini
 
Kazii
 
 
"Kama Katiba ingeruhusu Mhe Samia Suluhu Hassan hakupashwa kuwa Rais wa mihula miwuli pekee,

Huyu Mama walau kwa Uchache angestahili miaka walau 15 "
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…