Chama cha Mapinduzi kiseme kuhusu upandaji wa mafuta na hali ngumu ya Maisha

Adharusi

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2012
Posts
14,422
Reaction score
7,350
Makamu Mwenyekiti CCM, Katibu mkuu nazani mmekua mkifanya ziara maeneo mbalimbali mkiendelea kuwa kimya kama viongozi wa chama hamuwatendei haki wananchi waliopa ridhaa serikali ya CCM

Hali ni mbaya ,mbaya ,mbaya kwanini ushauri wa Shabibi kuhusu unanuzi wa mafuta haujafanyiwa kazi

Nimesema kama mwana CCM, naipenda Serikali yangu ,na Chama changu ila hali ni mbaya kwa wapiga kura na wananchi kwa ujumla
 
Mtoa hoja huu ni uzuzu mwingine, ccm walipata ridhaa ya vyombo vya usalama sio wananchi, crude 🛢 tunakonunua bei imeshuka(almost 2weeks ago),kupanda kwa bei hapa kwetu ni uzuzu wetu ingawa mimi sio zuzu, acha kulalama humu na ID fake
 
Tusimame pamoja kushauri ili wananchi na watanzania wafaidike,tuijenge nyumba yetu mjadala na maoni yakiwa mengi naamini mabadiliko yatatokea
 
... kupanda bei za mafuta kuna mkono wa CCM na watendaji wake wakuu kama wanufaika wa upandaji huo halafu waseme nini tena? Kwao kupanda bei za mafuta na ugumu wa maisha kwa watanzania ni fursa; wanakamua kweli kweli. Endeleeni kukata mauno majukwaani kuipigia debe CCM mkiambulia vitenge chakavu.
 
Ukienda mahali popote panapouza vitu vilivyopanda bei, onyesha kadi yako ya kijani halafu lipa bei unayotaka wewe sema tu nimetumwa na mama🐒

IMG_20220531_204006.jpg
 
Makamu Mwenyekiti CCM, Katibu mkuu nazani mmekua mkifanya ziara maeneo mbalimbali mkiendelea kuwa kimya kama viongozi wa chama hamuwatendei haki wananchi waliopa ridhaa serikali ya CCM

Hali ni mbaya ,mbaya ,mbaya kwanini ushauri wa Shabibi kuhusu unanuzi wa mafuta haujafanyiwa kazi

Nimesema kama mwana CCM, naipenda Serikali yangu ,na Chama changu ila hali ni mbaya kwa wapiga kura na wananchi kwa ujumla
Hakuna mwana CCM anaeumia na bei ya mafuta usitudanganye CDM mkubwa we!!!

CCM tuna mafuta yetu na sheli zetu bei karibu na bure. Agwe!! maisha kwetu ni mswano tu

Afu CDM ugumu wa maisha mnakutananao vipi mbona kwetu sisi ni ganda la ndizi tu.

Hebu mwacheni Mama apange safu kwanza wapiga kelele msimsumbue mara mafuta mara maisha magumu [emoji849][emoji849][emoji849]

Tulieni ni CDM pekee ndio mnao taabika CCM kwetu hali ni shwari maisha ni mtelezo
 
Makamu Mwenyekiti CCM, Katibu mkuu nazani mmekua mkifanya ziara maeneo mbalimbali mkiendelea kuwa kimya kama viongozi wa chama hamuwatendei haki wananchi waliopa ridhaa serikali ya CCM

Hali ni mbaya ,mbaya ,mbaya kwanini ushauri wa Shabibi kuhusu unanuzi wa mafuta haujafanyiwa kazi

Nimesema kama mwana CCM, naipenda Serikali yangu ,na Chama changu ila hali ni mbaya kwa wapiga kura na wananchi kwa ujumla
Nchi ilishawashinda na Sasa inawashinda Mara dufu, mnahujumiana wenyewe KWa wenyewe, mtaweza kweli
 
Wakisema chochote niite Mbwa niko hapa Kariakoo nashuka kwenye mwendo kasi.

Walamba asali wanasikilizia utamu tu.
 
Serikali na ccm inatudhulumu wananchi tunaishi kwa taabu.petrol juu, mafuta ya kula juu,unga gali.Hakuna la maana linafanyika kurekebisha , mbona awasemi kuhusu unafuu tuliopata ni upi?
 
Makamu Mwenyekiti CCM, Katibu mkuu nazani mmekua mkifanya ziara maeneo mbalimbali mkiendelea kuwa kimya kama viongozi wa chama hamuwatendei haki wananchi waliopa ridhaa serikali ya CCM

Hali ni mbaya ,mbaya ,mbaya kwanini ushauri wa Shabibi kuhusu unanuzi wa mafuta haujafanyiwa kazi

Nimesema kama mwana CCM, naipenda Serikali yangu ,na Chama changu ila hali ni mbaya kwa wapiga kura na wananchi kwa ujumla
Majizi yaseme nini?. Wao hali mbaya kwa Watanzania ni neema kwao.
 
Back
Top Bottom