Kinkunti El Perdedo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 5,200
- 12,762
Si tumesha kubaliana humu kwamba bei ya mafuta inawahusu cdm maana aliongea John Heche namna ya kupunguza bei ya mafuta sisi kijani kwa kuwa komoa cdm tumepandisha kabisa ili waache kelele maana kijani wote tuna bei yetu "alisika uvccm akisema uku akila chapati na chai sababu niwa wakala wa sensa