Tusimame pamoja kushauri ili wananchi na watanzania wafaidike,tuijenge nyumba yetu mjadala na maoni yakiwa mengi naamini mabadiliko yatatokeaMtoa hoja huu ni uzuzu mwingine, ccm walipata ridhaa ya vyombo vya usalama sio wananchi, crude 🛢 tunakonunua bei imeshuka(almost 2weeks ago),kupanda kwa bei hapa kwetu ni uzuzu wetu ingawa mimi sio zuzu, acha kulalama humu na ID fake
Umeona eeee!!!!?Ccm mbele kwa mbeleee
Hakuna mwana CCM anaeumia na bei ya mafuta usitudanganye CDM mkubwa we!!!Makamu Mwenyekiti CCM, Katibu mkuu nazani mmekua mkifanya ziara maeneo mbalimbali mkiendelea kuwa kimya kama viongozi wa chama hamuwatendei haki wananchi waliopa ridhaa serikali ya CCM
Hali ni mbaya ,mbaya ,mbaya kwanini ushauri wa Shabibi kuhusu unanuzi wa mafuta haujafanyiwa kazi
Nimesema kama mwana CCM, naipenda Serikali yangu ,na Chama changu ila hali ni mbaya kwa wapiga kura na wananchi kwa ujumla
nikajua nyie makada wa ccm petrol mnauziwa 2600 per litreTusimame pamoja ,uchaguzi ulishaisha ,tukiendelea kuchukulia poa mwezi tisa mafuta yatafika elfu 7
Nchi ilishawashinda na Sasa inawashinda Mara dufu, mnahujumiana wenyewe KWa wenyewe, mtaweza kweliMakamu Mwenyekiti CCM, Katibu mkuu nazani mmekua mkifanya ziara maeneo mbalimbali mkiendelea kuwa kimya kama viongozi wa chama hamuwatendei haki wananchi waliopa ridhaa serikali ya CCM
Hali ni mbaya ,mbaya ,mbaya kwanini ushauri wa Shabibi kuhusu unanuzi wa mafuta haujafanyiwa kazi
Nimesema kama mwana CCM, naipenda Serikali yangu ,na Chama changu ila hali ni mbaya kwa wapiga kura na wananchi kwa ujumla
Majizi yaseme nini?. Wao hali mbaya kwa Watanzania ni neema kwao.Makamu Mwenyekiti CCM, Katibu mkuu nazani mmekua mkifanya ziara maeneo mbalimbali mkiendelea kuwa kimya kama viongozi wa chama hamuwatendei haki wananchi waliopa ridhaa serikali ya CCM
Hali ni mbaya ,mbaya ,mbaya kwanini ushauri wa Shabibi kuhusu unanuzi wa mafuta haujafanyiwa kazi
Nimesema kama mwana CCM, naipenda Serikali yangu ,na Chama changu ila hali ni mbaya kwa wapiga kura na wananchi kwa ujumla
.....mwambie muuzaji mama yupo kazini, akirudi atalipa.Ukienda mahali popote panapouza vitu vilivyopanda bei, onyesha kadi yako ya kijani halafu lipa bei unayotaka wewe sema tu nimetumwa na mama🐒
View attachment 2312604