Pre GE2025 Chama cha Mapinduzi na Michezo Nchini

Pre GE2025 Chama cha Mapinduzi na Michezo Nchini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Ama kwa hakika CCM ni chama cha michezo nchini, hususani mpira wa miguu. na huu ni mwanzo tu, katika jitihada za makusudi kuhamasisha na kuimarisha michezo kuanzia vijijini. šŸ’

47790100a71248aebac8373465b8b1e1.jpg
 
Rudisheni kwanza viwanja vyetu vya mpira wa miguu mlivyo vikwapua kote nchini enyi wezi wakubwa msio hata na chembe ya aibu.
 
Back
Top Bottom