Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 24,665 Reaction score 25,388 Jun 15, 2024 #1 Ama kwa hakika CCM ni chama cha michezo nchini, hususani mpira wa miguu. na huu ni mwanzo tu, katika jitihada za makusudi kuhamasisha na kuimarisha michezo kuanzia vijijini. π
Ama kwa hakika CCM ni chama cha michezo nchini, hususani mpira wa miguu. na huu ni mwanzo tu, katika jitihada za makusudi kuhamasisha na kuimarisha michezo kuanzia vijijini. π
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Jun 16, 2024 #2 Rudisheni kwanza viwanja vyetu vya mpira wa miguu mlivyo vikwapua kote nchini enyi wezi wakubwa msio hata na chembe ya aibu.
Rudisheni kwanza viwanja vyetu vya mpira wa miguu mlivyo vikwapua kote nchini enyi wezi wakubwa msio hata na chembe ya aibu.