Chama Cha Mapinduzi Tukubaliane na NO Reforms NO Elections ili Tusimalizane Wenyewe kwa Wenyewe.

Kimalingano

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2023
Posts
1,366
Reaction score
1,770
Nimeanza kuamini kuwa hii No reforms,no elections ya akina Lissu inaweza kutusaidia na sisi CCM.Inaweza kuzuia kutekana au kuuana wenyewe kwa wenyewe kama ilivyotokea Iringa kiongozi wa CCM kuuawa,ilivyotokea Mwanza juzi kiongozi wa CCM ambaye ana nia ya kugombea Tarime kutekwa,kutishiwa kuuawa Mhe.Mpina nk.

Maana kama mgombea wa CCM huna uhakika wa kushinda mbele ya ushindani huru na wa haki,huwezi kufikiria kumdhuru mshindani wako wa ndani ya CCM.Vinginevyo,tutamalizana wenyewe kwa wenyewe.Hata uchaguzi ukiisha wale walioshindwa wataendelea kuwashughulikia walioko madarakani ili waingie wao.
 
Kimsingi ukiwa mwanaccm kazi moja ni kupitishwa tu kugombea. Sasa kwenye stage hii ndio huwa wanamalizana wao kwa wao
 
Nimeanza kuamini kuwa hii No reforms,no elections ya akina Lissu inaweza kutusaidia na sisi CCM.Inaweza kuzuia kutekana au kuuana wenyewe kwa wenyewe kama ilivyotokea Iringa kiongozi wa CCM kuuawa,ilivyotokea Mwanza juzi kiongozi wa CCM ambaye ana nia ya kugombea Tarime kutekwa,kutishiwa kuuawa Mhe.Mpina nk.

Maana kama mgombea wa CCM huna uhakika wa kushinda mbele ya ushindani huru na wa haki,huwezi kufikiria kumdhuru mshindani wako wa ndani ya CCM.Vinginevyo,tutamalizana wenyewe kwa wenyewe.Hata uchaguzi ukiisha wale walioshindwa wataendelea kuwashughulikia walioko madarakani ili waingie wao.
Hakuna bwege km wewe CCM, Pambana na nyumbu wenzio na huo upuuzi wenu. Mnajifanya mna akili sn kuna utopolo tu
 
Nimeanza kuamini kuwa hii No reforms,no elections ya akina Lissu inaweza kutusaidia na sisi CCM.Inaweza kuzuia kutekana au kuuana wenyewe kwa wenyewe kama ilivyotokea Iringa kiongozi wa CCM kuuawa,ilivyotokea Mwanza juzi kiongozi wa CCM ambaye ana nia ya kugombea Tarime kutekwa,kutishiwa kuuawa Mhe.Mpina nk.

Maana kama mgombea wa CCM huna uhakika wa kushinda mbele ya ushindani huru na wa haki,huwezi kufikiria kumdhuru mshindani wako wa ndani ya CCM.Vinginevyo,tutamalizana wenyewe kwa wenyewe.Hata uchaguzi ukiisha wale walioshindwa wataendelea kuwashughulikia walioko madarakani ili waingie wao.
Kwani Tanzania ina vyama viwili tu vya siasa yaani CCM na Chadema tu?

Chadema acheni dharau
 
Back
Top Bottom