Kimalingano
JF-Expert Member
- Mar 27, 2023
- 1,366
- 1,770
Kimsingi ukiwa mwanaccm kazi moja ni kupitishwa tu kugombea. Sasa kwenye stage hii ndio huwa wanamalizana wao kwa waoNimeanza kuamini kuwa hii No reforms,no elections ya akina Lissu inaweza kutusaidia na sisi CCM.Inaweza kuzuia kutekana au kuuana wenyewe kwa wenyewe kama ilivyotokea Iringa kiongozi wa CCM kuuawa,ilivyotokea Mwanza juzi kiongozi wa CCM ambaye ana nia ya kugombea Tarime kutekwa,kutishiwa kuuawa Mhe.Mpina nk.
Maana kama mgombea wa CCM huna uhakika wa kushinda mbele ya ushindani huru na wa haki,huwezi kufikiria kumdhuru mshindani wako wa ndani ya CCM.Vinginevyo,tutamalizana wenyewe kwa wenyewe.Hata uchaguzi ukiisha wale walioshindwa wataendelea kuwashughulikia walioko madarakani ili waingie wao.
TrueMageuzi yana manufaa kwa pande zote na kwa kila mtanzania .
HakikaKimsingi ukiwa mwanaccm kazi moja ni kupitishwa tu kugombea. Sasa kwenye stage hii ndio huwa wanamalizana wao kwa wao
Hakuna bwege km wewe CCM, Pambana na nyumbu wenzio na huo upuuzi wenu. Mnajifanya mna akili sn kuna utopolo tuNimeanza kuamini kuwa hii No reforms,no elections ya akina Lissu inaweza kutusaidia na sisi CCM.Inaweza kuzuia kutekana au kuuana wenyewe kwa wenyewe kama ilivyotokea Iringa kiongozi wa CCM kuuawa,ilivyotokea Mwanza juzi kiongozi wa CCM ambaye ana nia ya kugombea Tarime kutekwa,kutishiwa kuuawa Mhe.Mpina nk.
Maana kama mgombea wa CCM huna uhakika wa kushinda mbele ya ushindani huru na wa haki,huwezi kufikiria kumdhuru mshindani wako wa ndani ya CCM.Vinginevyo,tutamalizana wenyewe kwa wenyewe.Hata uchaguzi ukiisha wale walioshindwa wataendelea kuwashughulikia walioko madarakani ili waingie wao.
Matusi tena. Ndo mnavyo fundishana kwenye kambi za uvccm au ni tabia toka kwa wazazi wako ?Hakuna bwege km wewe CCM, Pambana na nyumbu wenzio na huo upuuzi wenu. Mnajifanya mna akili sn kuna utopolo tu
Kwani Tanzania ina vyama viwili tu vya siasa yaani CCM na Chadema tu?Nimeanza kuamini kuwa hii No reforms,no elections ya akina Lissu inaweza kutusaidia na sisi CCM.Inaweza kuzuia kutekana au kuuana wenyewe kwa wenyewe kama ilivyotokea Iringa kiongozi wa CCM kuuawa,ilivyotokea Mwanza juzi kiongozi wa CCM ambaye ana nia ya kugombea Tarime kutekwa,kutishiwa kuuawa Mhe.Mpina nk.