Mgombea wa Urais kupitia Chama cha United Democratic Party (UDP) Saumu Rashidi ameendelea na kampeni zake mkoani Mara na kunadi sera za chama hicho, huku akiahidi kuwajaza fedha mifukoni Watanzania wote kwa kuwafungulia fursa za kiuchumi
Soma pia GE2025 - Mgombea Urais UDP: Lengo kubwa ya chama chetu ni kuwainua wananchi wanyonge kwa sera yetu ya kuwajaza watu Mapesa
Soma pia GE2025 - Mgombea Urais UDP: Lengo kubwa ya chama chetu ni kuwainua wananchi wanyonge kwa sera yetu ya kuwajaza watu Mapesa