Chama cha wake wa Viongozi Tanzania kinawahusisha akina nani?

The Khoisan

Platinum Member
Joined
Jun 5, 2007
Posts
18,900
Reaction score
18,751
Wakati wa kuweka mashada ya maua leo kwenye ratiba kulikuwa na mwakilishi wa chama cha Wake wa Viongozi.

Hivyo hicho chama kinahusisha wake wa viongozi wa ngazi zipi na malengo yake hasa ni nini.

Wajuaji tu naomba mtujuze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…