Tujilaumu sisi tunaoendekeza ufalme kwa kuwapigia kura. Ukweli ni kwamba walioko madarakani wameamua na kudhamiria kuridhisha watoto na wajukuu wao uongozi taratibu. Sina haja ya kutaja majina ila mnayafahamu. Miaka 10 ijayo tuwe tayari kuyaona majina yaleyale katika ngazi za uongozi. Tusiseme wameamua na sisi tu play role zetu kuwabana. Ni policy tuinatakiwa tuiwekwe kuwabana je nani amfunge paka kengele? Tunapokaribia kusema tumfunge paka kengele kila mtu anafyata mkia na kumwacha mwanzisha hoja peke yake.