Chama cha wakulima na wafanyakazi

Chama cha wakulima na wafanyakazi

RR

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2007
Posts
6,968
Reaction score
2,035
attachment.php


Kamanda mpya, Tonny Ngombale Mwiru, akisimikwa kwa kuvishwa gwanda na Ridhiwani Kikwete...
kwa hisani ya gp
 

Attachments

  • ccm.jpg
    ccm.jpg
    20.5 KB · Views: 151
Kama baba kama mtoto...I thought that is the very JAKAYA!!..huh!
 
Waswahili wanasema nyie mkisusa, wao wala!
 
Haya sasa mambo ya kurithishana kama ufalme hayo yaja.
 
Like a family business
 
Huyo kamanda mwingine sijui ameshiba sana au ni mimba?
Naona ameamua kujivalisha kilemba yeye mwenyewe.
 
Ni yale yale tu ya utemi na ufalme, acha warithishane tu but one day Yes. Tusiwalaumu sana, kati yetu mwenye sifa akagombee!
 
Tujilaumu sisi tunaoendekeza ufalme kwa kuwapigia kura. Ukweli ni kwamba walioko madarakani wameamua na kudhamiria kuridhisha watoto na wajukuu wao uongozi taratibu. Sina haja ya kutaja majina ila mnayafahamu. Miaka 10 ijayo tuwe tayari kuyaona majina yaleyale katika ngazi za uongozi. Tusiseme wameamua na sisi tu play role zetu kuwabana. Ni policy tuinatakiwa tuiwekwe kuwabana je nani amfunge paka kengele? Tunapokaribia kusema tumfunge paka kengele kila mtu anafyata mkia na kumwacha mwanzisha hoja peke yake.
 
Huyo kamanda mwingine sijui ameshiba sana au ni mimba?
Naona ameamua kujivalisha kilemba yeye mwenyewe.

Definitely itakuwa ni mimba changa hta ukiangalia kwa makini naona mngao wa pete ya ndoa unaoashiria hata ndoa ni changa chini aka mbili hivi
 
kaka naona umeamua kututonesha madonda yetu makusudi.
Mkuu kwangu mimi imeonekana funny ndo maana nikaibandika huku, but it says more than that
 
Back
Top Bottom