CHAMA CHA WALIMU (CWT) badi ina uhai?

Msingida

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
10,239
Reaction score
11,731
Ninaomba walimu wanisaidie kama kuna website ya CWT maana hiki chama kipo kimya sana,hakifanyi jitihada zozote kuweka mabo yake kisasa.Kimsingi pia nataka kufahamu katiba yao kipengele cha kujitoa maana naona nataabika sana na chama kipo domant maeneo ya walayani.Maafisa elimu wamekuwa miungu watu chama kipo kimya.Wangekuwa na webpage ingewasaidia wanachama kulink na HQ kwa utatuzi wa haraka.Vinginevyo makato yao kwenye mishahara isitishwe maanahaitusaidii.
Naomba kuwakilisha.
 
Kama Mukoba 'kawasaliti' peleka taarifa zake Kurugenzi ya Usalama ya Chadema taarifa muhim; anapendelea kinywaji gani,ana bastola au pisto,ana nyumba ndogo, n.k then sikilizia majibu maana ni muda mrefu hajaitisha mgomo wa Walim
 
kama mukoba 'kawasaliti' peleka taarifa zake kurugenzi ya usalama ya chadema taarifa muhim; anapendelea kinywaji gani,ana bastola au pisto,ana nyumba ndogo, n.k then sikilizia majibu maana ni muda mrefu hajaitisha mgomo wa walim
haya ni mawazo mgando! Changia hoja iliyopo jukwaani na siyo vipropaganda vyako vya kitoto. Watu makini tuko nje ya vijisiasa vyenu uchwara. Unafikiri kwa kutumia miguu au?
 
haya ni mawazo mgando! Changia hoja iliyopo jukwaani na siyo vipropaganda vyako vya kitoto. Watu makini tuko nje ya vijisiasa vyenu uchwara. Unafikiri kwa kutumia miguu au?

kwenda zako, mtu makini ungeishia kwenye Ualimu, haujui chanzo cha matatizo yenu ni kukaribisha Wanasiasa kwny chama? Sie huku kwenye Engineering ipo Bodi lakin hatuishii kulia lia ila unakaza buti kivyako tatizo lenu walim mko kama Broilers mnataka kila kitu kihudumiwe na mshahara haiwezekani jishughulisheni ngazi za mshahara serikalini zinafana mbona wenzenu wana unafuu japo sio mabos wa kupiga ufisadi kama mngekuwa mnalipwa kwa kutegemea Efficiency this time mngepaswa kukatwa 60% kufidia zile zero za Necta!
 
Yawezekana wewe sio mwalimu, ndo ninyi mlioandaliwa kubomoa chama.

siyo kubomoa chama tunahitaji ufafanuzi wa kina kweli chama kimelala sana, huu ualimu wako wa kutokuhoji maslahi yako kama kweli we ni mwalimu basi wanafunzi wako sijui kama kitaaluma wako adjusted!
 
Yawezekana wewe sio mwalimu, ndo ninyi mlioandaliwa kubomoa chama.

Mi ni mwalimu na ninalipia michango nikikatwa kila mwezi.Hapa hatubomoi chama ila tunakijenga,chama hakina website,makatibu wa wilaya wamekuwa marafiki wa maafisa elimu.mwalimu atasaidiwa na nani?
 
Yawezekana wewe sio mwalimu, ndo ninyi mlioandaliwa kubomoa chama.
Chama kinajengwa kwa kukosolewa,sio kibembelezwe mwisho walimu washindwe kusaidiwa kama ilivyo objective ya chama
 
Naomba uwe mstaarabu na Engineering yako.Nimeomba mchango kwa walimu ambao wanaelewa maana hi thread; siyo ww Engineer.Unaonekana huna uelewa na hizo div.zero ndio maana Waziri mkuu kaanzisha tume kutafuta chanzo cha tatizo.Kama ww una majibu basi wasiliana na tume moja kwa moja.
 

walimu sio watu makini? We! Are you out of your mind?
 
Sasa we songoro suala nila walimu wewe linakuhusu nini?kwa hiyo unataka wenzako waishi kwenye shida mpaka lini?wakati unaona kila siku hali ya maisha inavopanda,jaribu kutoa hoja sio kuwapondea
 

Una maana watu wote walioishia ualimu si watu makini? Bila huyo mwalimu wewe ungekuwa injinia? Unataka kusema hata baba wa taifa hakuwa mtu makini kwa sababu alikuwa mwalimu? Acha dharau za kishamba mbulula we!
 

kumbe Tanzania kuna engineering!!!?
 

Kwanza tuombe CAG akague matumizi ya fedha za CWT. Kwani asilimia ndogo wanayorudisha matawini walimu wanagawana kama uyoga. Bado CWT wanashindwa kutumia fursa waliyonayo kujiimarisha kiuchumi wakaacha utegemezi wa makato ya mshahara kiduchu wa walimu. mie nafikiri hipo haja ya kuanzisha chama huru cha walimu ambacho chenyewe kitajali shida za walimu kama vile kutoa mikopo kwa walimu wanaojiendeleza kitaaluma na kutoa kifuta jasho kwa walimu wanaostaafu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…