Msingida
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,239
- 11,731
Ninaomba walimu wanisaidie kama kuna website ya CWT maana hiki chama kipo kimya sana,hakifanyi jitihada zozote kuweka mabo yake kisasa.Kimsingi pia nataka kufahamu katiba yao kipengele cha kujitoa maana naona nataabika sana na chama kipo domant maeneo ya walayani.Maafisa elimu wamekuwa miungu watu chama kipo kimya.Wangekuwa na webpage ingewasaidia wanachama kulink na HQ kwa utatuzi wa haraka.Vinginevyo makato yao kwenye mishahara isitishwe maanahaitusaidii.
Naomba kuwakilisha.
Naomba kuwakilisha.