CWT ni wezi unakuta walimu wengine hawakujaza fomu za mkataba wanakwenda kumwomba mkuu taarifa za mwal kwa mkuu wa shule na yeye kwakuwa ni walewale anawapa bila kureason halafu wanaanza kumkata 2% hawa jamaa wachukua pesa nyingi sana za walimu bilawalimu wenyewe kunufaika chochote. Kwa haraka haraka tukichukulia walimu wa ngazi ya chini ya mshahara wanakatwa 5000 hadi 7000, kwa idadi ya walimu laki1; 100000x5000x miezi 12=6,000,000,000 zote hizo wanampa nani? corruption!! corruption!!! corruption!!! what song is this walimu amkeni sasa kuonewa mpaka lini?????
NOTE: 100000 SIO IDADI KAMILI YA WALIMU WOTE TANZANIA INAWEZA KUWA ZAIDI NIMEFANYA KAMA MFANO TU HATA HIVYO NGOJA NITAFUTE .