Chama cha walimu hatukitaki

Chama cha walimu hatukitaki

dawa ya kuondokana na adhabu ya ualimu ni kusoma kwa kubadili fani au kufanya plan b yeyote i.e kutotegemea kufundisha peke ake.cwt hamna watakachofanya cha maana.narudia cwt kipo kisiasa zaidi
hivi unaelewa mada inasemaje!!?, walimu wahakitaki cwt siyo ualimu, na sababu zenyewe ni utendaji wake wa kutokuwanufaisha walimu kwa kile wanacho changia ambayo ni 2% ya mishahara yao, hapa suala ni chama sio ualimu.ukisema watu wasisomee ualimu sijui kama kuna nchi duniani inajiendesha na haina walimu, kama ipo nijulishe.
 
CWT ni wezi unakuta walimu wengine hawakujaza fomu za mkataba wanakwenda kumwomba mkuu taarifa za mwal kwa mkuu wa shule na yeye kwakuwa ni walewale anawapa bila kureason halafu wanaanza kumkata 2% hawa jamaa wachukua pesa nyingi sana za walimu bilawalimu wenyewe kunufaika chochote. Kwa haraka haraka tukichukulia walimu wa ngazi ya chini ya mshahara wanakatwa 5000 hadi 7000, kwa idadi ya walimu laki1; 100000x5000x miezi 12=6,000,000,000 zote hizo wanampa nani? corruption!! corruption!!! corruption!!! what song is this walimu amkeni sasa kuonewa mpaka lini?????
NOTE: 100000 SIO IDADI KAMILI YA WALIMU WOTE TANZANIA INAWEZA KUWA ZAIDI NIMEFANYA KAMA MFANO TU HATA HIVYO NGOJA NITAFUTE .
 
HAKUNA TOFAUTI KATI YA CWT NA CCM, LAO NI MOJA KUWAGAWANYA WATU NA KUWATAWALA KISHA KINAWANYONYA. ANAEKITETEA HIKI CHAMA UJUE NI MIONGONI MWA WANAONUFAIKA NACHO i.e wanyonyaji.TUPA KULE.
 
Mtoa hoja anatumiwa na CCM au Serikali, kwani serikali hivi sasa iko kwenye kampeni kubwa kuhakikisha CWT haipati sapoti kutoka kwa wadauili hoja za msingi ziishie kutupiliwa mbaali! walimu amkeni msitumiwe kutenganishwa wenyewe kwa wenyewe.Take care!
 
Back
Top Bottom