Basi kuna haja ya vyama vyote vya kitaaluma kuanza kuwaelimisha watu wao elimu ya fedha.Wastaafu wanao tapeliwa ni wengi sana nimeshuhudia daktari mstaafu akitapeliwa 30mil , lakin walimu wanasikika sana kwa sababu kwanza ni wengi sana katika kundi la wanao staafu hivyo kelele ni nyingi sana.
Hapa napo pana tatizo. Ingeweza kuwa inachuana na NMB na CRDB kwa wingi wa waalimu. Ingeweza kutoa mikopo kwa riba nafuu zaidi.CWT ni majambazi pamoja na Benki Ya Walimu ,maana iwapo wangekuwa na huruma na Wanachama wao,Walimu hawakutakiwa kutaabika kiasi hiki.Je Mwalimu Bank ina faida gani kwa Walimu wa Tanzania?