Chama cha Walimu Manispaa ya Bukoba sii msaada Kwa Walimu..

Chama cha Walimu Manispaa ya Bukoba sii msaada Kwa Walimu..

Joined
Apr 8, 2014
Posts
60
Reaction score
18
Hv juz wakati walimu wapatao 150 waligoma kuondoka katika ofisi za halmashauri ya manispaa ya Bukoba KWA kile walichodai kuwa wamechoshwa na dharau PAmoja na dhuluma inayofanywa na wahusika wakiwemo Maafisa utumishi na maafisa Elimu PAmoja na Kaimu mkurugenzi wa manispaa hiyo Kwa kutowapa fedha zao za kujikimu PAmoja na nauli walizotumia ktk safari ya kufika pale.
Inasikitisha zaidi pale ambapo chama cha walimu hawajachukua hatua yoyote kuhusiana na hilo. Haitoshi walimu hao toka walivyomwagwa na serikali sikivu hawakupata makazi wala mwelekeo wowote wa maisha.
Swali ni kwamba HIVI chama cha walimu hakioni matatizo ya walimu Ama si sehemu ya kazi zao? Walishindwa hata kuwapokea na kuwajulisha haki zao za msingi! Hv ni mikoa yote inafanyika HIVI? Nadhani kada ya ualimu inaweza kuwa ni moja kati ya kada za kuonewa na kukatwa makato mengi kuliko kada zote Kwa sababu walimu wenyewe hawaoneshi kujitambua na kudai haki zao huku chama cha walimu wakizidi kusimama upande wa serikali na kuchukua makato ya walimu bila kuwasaidia..
Walimu wapya hawana ABC yeyote kuhusu chama chao dhalimu..
 
Hii nchi walimu wanateseka sana yako mengi yanayowasibu ila ndo hivyo viongozi wenyewe wa UWT utadhani ni agent wa serikali vs ya walimu kumbe ni agent ya walimu vs serikali ila utendaji wake ni homa kuliko kimeta ..kwa kifupi CWT ni chombo cha kuwakandamiza walimu indirectly ila ukiwaona mko wote wanapretend wako upande wa walimu

Vip sasa hari ikoje hapo mkoani ama bado hata kupelekwa vituoni hamjapelekwa bado?
 
Vituoni walimu washapelekwa kuna wengine tayari wanafanya kazi cha kusikitisha ni kwamba walimu katka hali mbaya kimaisha coz hawajapokelewa vizurina mda mwingi wamekaa gesti bila kupata makazi na mambo mengine muhimu ya kimaisha hivyo hali yao siyo Nzuri..

CWT haijawasaidia chochote na halmashauri hawajawamalizia posho zao. Hyo NDIYO hali halisi manispaa Kwa Mwalimu manispaa ya Bukoba
 
Nasikia J4 walimu wapya Magu barabarani.. Sijui wale wa manispaa ya Bukoba inakuwaje? !!!!!! Tupeni majibu wana Bukoba mna mpango gani?
 
Duh polen.. hiki chama ni cha kukifumua au kianzishwe kingine afu watu wawe na hiar.ya kuchagua wajiunge kipi kama ilivo kwenye mifuko ya mafao.
 
Adui Wa Mwalimu Ni Mwalimu, Hao Walioko Madarakani Unakuta Aliwah Kuwa Mwalimu,akipewa Madaraka Anawageuka Walimu Wenzake, Unategemea Nini Tena Hapo?
 
Kuhusu CWT,kwanza Hakina Tija Yoyote Zaidi Ya Kula Pesa Yenu,ni Chama Cha Wadhurumaji,ushahidi,nyinyi Wa Hapo Bukoba Baada Ya Serikali Kuwatelekeza Kimechukua Hatua Gani Kuwasaidia? Hakuna Na Mshahara Mnakatwa Kuchangia Chama Kisicho Na Tija Yoyote Kwenu Na Chenye Kazi Hewa! Haya,njoo Kwenye Uanachama,UANACHAMA WA CWT, Et Mkuu Au Mwalimu Mkuu Wa Shule Pamoja Na Afsa Elimu Et Nao Ni Wanachama Na Hapo Hapo Et Ni Msimamizi Wa Shughuli Za Serikali!! Je Umewahi Kujiuliza Ni Wakati Gani Wanaitetea Serikali Na Wakati Gani Wanatetea Maslah Ya Chama? Au Cwt Inapoitisha Mgomo Wao Huwa Wanamgomea Nani Ilihali Wao Ndo Wanatakiwa Wazungumze Kwa Upande Wa Serikal? Mkuu Wa Shule Anakwambia Amegomea Ualimu Kufundisha Lakini Hajagomea Ukuu Wa Shule Na Hvy Unamkuta Yupo Ofisini Akichapa Kazi Za Ukuu Wa Shule Na Kwenye Rosta Ya Ufundishaji Wa Vpnd Hana Hata Kimoja!!Swali,je Hawa Sk Ya Mgomo Huwa Wanagoma Kufanya Nini? Sk Ya Mgomo Maafisa Elimu Hukusany Majna Ya Walogoma,na Hapohopo Et Ni Wanachama Wa CWT!! Hawastahili Uanacham
 
CWT, Hata Rangi Ya Tishet Yake Imefanana Na Ile Ya Chama Cha Mafisadi,mkivaaga Yale Matisheti Yenu Mnakuwaga Kama Mapimbi Fulani, Simameni Mbadilishe Muundo Wa Uanachama, Sifa Mojawapo Ya Kupoteza Uanachama Ni Mtu Kuwa Mkuu Wa Shule Au Afsa Elimu Hao Wanakuwa Upande Wa Serikali Usitegemee Wakakutetea Wewe Ilihali Wenzako Wanalipwa Malupulupu Mengi Na Bado Hapo Wizi Hawajaufanya! Mchunguze Sk Za Mgomo Hawa Nao Huwa Wanagoma?Hawa Hawa Ndo Hukusanya Taarifa Na Kupeleka Kwenye Mamlaka Kwa Hatua Zaidi Halafu Et Hapo Mpo Chama Kimoja Mnapigana Juu Ya Adui Huku Mnaesaidiana Kupambana Na Huy Adui Akiwa Anauhusiano Wa Moja Kwa Moja!Maafisa Elm Hupita Huku Na Kule Kukusanya Data Wakisaidiwa Na Wakuu Wa Shule,wakuu Wa Shule Huenda Kazini Kama Kawaida Na Hudai Wamegomea Kazi Ya Ualimu Ya Kufundisha Lakini Hawajagomea Cheo Cha Ukuu Wa Shule!! Sasa Unakuta Weng Wao Huwa Hawana Vpnd Madarasani, Je Sk Ya Mgomo Hawa Hugoma Kufanya Nini Ili CWT Kinufaike Na Uwep Wao? Au Ni Wakt Gani Wanasimam Kutetea Maslah Y CWT N Y SER ?
 
Back
Top Bottom