Chama Cha walimu TANZANIA na Chama Cha kutetea haki za walimu TANZANIA
Hivi ni vyama vimeundwa Kwa mujibu wa Sheria Kwa lengo la kusimamia na kutetea haki na maslahi ya walimu.
Tofauti yake:
1. CWT wanakata 2% kwenye msharahara wa mwanachama lakini CHAKUHAWATA wanakata 5000/= kwenye mshahara wa Kila mwanachama kama ada ya Kila mwezi.
2.CWT ni Chama kikongwe kisicho na maono ya kumsaidia mwanachama katika kutetea haki zake lakini CHAKUHAWATA kimekuja kama mbadala na maono ya kutetea mwanachama wake.
3. CWT ni Chama chenye vitegauchumi vingi kama nyumba, viwanja na benki lakini hakijawahi fikria kupunguza makato ya uanchama 2% Kwa mwanachama wake lakini CHAKUHAWATA kimeonelea Kila mwanachama alipie ada kidogo Ili kupunguza maumivu ya kupanda na ongezeko la mshahara wa mwanachama.
4. CWT ni Chama kisichokuwa na meno Kumsemea mwanachama Kwa mwajiri lakini CHAKUHAWATA kimekuja kurekebisha makosa hayo.
NB: Ongeza zingine unazozifahamu