PAYE
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 459
- 644
Katibu wa Umoja wa Wazee Mkoa wa Arusha na Chama cha Wazee Wanaume Tanzania (CCWWT) Bw. Salim Ibrahim, amewaasa Vijana kutokubali kuwa chanzo cha kuvuruga amani kwani kuna maisha baada ya uchaguzi.
Chama cha Wazee kimewataka Vijana kutambua kuwa changamoto ni sehemu ya maisha na njia pekee ni kuzikabili na kamwe sio kuvuruga amani.
Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Joseph Mkude, amesema maandalizi ya kuwawezesha wananchi kupiga kura yamekamilika, na ulinzi umeimarishwa katika mitaa yote yenye vituo vya kupigia kura, hivyo wananchi wote wenye sifa wajitokeze bila wasiwasi.