Usihofu. Dawa yake ipo Kamati Kuu. Wote waliotoa rushwa wanajulikana. Wagombea wanaokubalika na wananchi ndo majina yao yatarudi, waliopigiwa kura na wajumbe wa matawi kwa kuhonga itabakia historia kwao.Kuna mmoja kule Kanda ya Kaskazini pamoja na uchanga wake kwwnue siasa amepata kura 333, kila siku habari zake zilikuwa zinasambaa jinsi anavyogawa rushwa kwa wajumbe.
Wewe ni wa kuonea huruma kwa sababu huelewi lolote bora kujikalia kimya tu. Umeambiwa tukio linapangwa ndani ya dakika 2, Mgawa pesa anawaanda wajumbe anawapigia simu wajikusanye pamoja,wakishakaa pamoja eneo flani anapita hapo kama upepo na piki piki au gari isyokua yake ya siku zote na kugawa pesa dakika 1 na kusepa fasta,hao TAKUKURU mpaka waje wapokee simu na wafike eneo la tukio saa ngapi?Kwa nini mwandishi anapenda Sana mambo ya kuzusha?? Mambo ya uwongo uwongo??
Na kama ni kweli alishindwa vipi kuwatonya Takukuru?
Washughulikiwe wote hawa wapuuzi sana wanatuchafulia nchiUsihofu. Dawa yake ipo Kamati Kuu. Wote waliotoa rushwa wanajulikana. Wagombea wanaokubalika na wananchi ndo majina yao yatarudi, waliopigiwa kura na wajumbe wa matawi kwa kuhonga itabakia historia kwao.
Maeneo machache sana watu wanapita kwa haki, poa kuna kuzidiana ujanja katika kutoa rushwa we hujui. Wewe hujui, Makonda ana uzoefu gani na siasa za majimboni?Hebu subirini. Kwamba Ndugulile ana mpunga mrefu kumzidi Makonda? Au Furaha ana mpunga mrefu kumzidi Gwajima?
Kwa hiyo mtu mwenye tuhuma za rushwa adhabu yake ni kukatwa jina tu?Usihofu. Dawa yake ipo Kamati Kuu. Wote waliotoa rushwa wanajulikana. Wagombea wanaokubalika na wananchi ndo majina yao yatarudi, waliopigiwa kura na wajumbe wa matawi kwa kuhonga itabakia historia kwao.
Kwa mtindo huu SASA ni hatarii πππππππUmeambiwa tukio linapangwa ndani ya dakika 2, Mgawa pesa anawaanda wajumbe anawapigia simu wajikusanye pamoja,wakishakaa pamoja eneo flani anapita hapo kama upepo na piki piki au gari isyokua yake ya siku zote na kugawa pesa dakika 1 na kusepa fasta,hao TAKUKURU mpaka waje wapokee simu na wafike eneo la tukio saa ngapi?
Kuna wakati unagawa rushwa na mambo yanagomaHebu subirini. Kwamba Ndugulile ana mpunga mrefu kumzidi Makonda? Au Furaha ana mpunga mrefu kumzidi Gwajima?
Mbinu za kutoa rushwa zipo nyingi sana. Unapomchukulia mtu hatua za kisheria lazima uwe na ushahidi wa moja kwa moja na usio na shaka. Ndo maana TAKUKURU wakati mwingine hutumia fedha za moto kuwakamata watoa rushwa.Kwa hiyo mtu mwenye tuhuma za rushwa adhabu yake ni kukatwa jina tu?
Kama chama kina taarifa zao na kutoa/kupokea rushwa ni jinai, kwa nini wasichukuliwe hatua kwa mujibu wa sheria?
Ingawa ni katibu wa uhamasishaji wa uvccm zamani naamini Makonda hana uzoefu na siasa za majimboniMaeneo machache sana watu wanapita kwa haki, poa kuna kuzidiana ujanja katika kutoa rushwa we hujui. Wewe hujui, Makonda ana uzoefu gani na siasa za majimboni?
Unamaanisha Kwamba mnaotoa Rushwa Kwa mtindo mpya ndio mlienda shule kusomea welevu siyo?Hivi mlienda shule kusomea ujinga au nawe ni mtoa rushwa ndio maana unatetea ujinga?