Chama changu CCM tunajitengaje na aibu hii? Gamba limeondoka au limerudi kwa kasi?

Chama changu CCM tunajitengaje na aibu hii? Gamba limeondoka au limerudi kwa kasi?

Mbinu za kutoa rushwa zipo nyingi sana. Unapomchukulia mtu hatua za kisheria lazima uwe na ushahidi wa moja kwa moja na usio na shaka. Ndo maana TAKUKURU wakati mwingine hutumia fedha za moto kuwakamata watoa rushwa.

Kwahiyo, hatua ya chama kuwakata ni hatua nzuri sana kupunguza vitendo vya rushwa. Kwasabb mtu anajua hata nisipoonekana lakini ikijulikana tu kwamba nilishinda kwa kutoa chochote basi nitakatwa.
Siungi mkono rushwa ila kwa nini wakatwe kama hakuna ushahidi zaidi ya maneno ya kusikia tu?
 
Back
Top Bottom