Pre GE2025 Chama changu pendwa CCM ni kweli mnataka mdahalo na CHADEMA?

Pre GE2025 Chama changu pendwa CCM ni kweli mnataka mdahalo na CHADEMA?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Waliokuwa wanakwepa midahalo huko ccm ni wenye akili, Mkapa aliweza mdahalo maana alikuta kizazi cha mwisho mwisho Cha ccm. Hawa wengine wamekutana na kizazi Cha kuhoji na kupima hoja na sio zidumu fikra za mwenyekiti. Huyo muhalifu mpanda punda, anataka mdahalo Ili kupata platform ya kujisafisha maovu yake.
Tena huyo ndio hana uvumilivu!
 
Tena huyo ndio hana uvumilivu!
Analazimisha kufanya siasa na wapinzani ili awe relevant kwa waliomteua. Inaonekana alipewa kazi maalimu ya kujibizana na wapinzani, ndio maana Kila mara analazimisha wapinzani wajitokeze avutane nao.

Kuna siku hadi anasema wapinzani wasipofanya siasa yeye anakuwa hana maana ndani ya ccm. Na alivyokuwa hajitambua hajui hata aseme Nini kwenye public, ndio maana anaweka hadharani wajibu wake. Kumbe katibu wa itikadi na uenezi kazi yake ni kujibishana na wapinzani, na sio kueneza itakidi za chama chake. Uzuri wapinzani nao wanajua ni muhalifu, hivyo wamempotezea.
 
Back
Top Bottom