Waliokuwa wanakwepa midahalo huko ccm ni wenye akili, Mkapa aliweza mdahalo maana alikuta kizazi cha mwisho mwisho Cha ccm. Hawa wengine wamekutana na kizazi Cha kuhoji na kupima hoja na sio zidumu fikra za mwenyekiti. Huyo muhalifu mpanda punda, anataka mdahalo Ili kupata platform ya kujisafisha maovu yake.