Chama Cloutus ampa makavu Jemedar Said

DullyJr

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
13,983
Reaction score
11,857
@jemedarisaid I think now you getting on my nerve small issues you want to make stories like you even know football when all you do is talk day in day out you just talk about football guy don’t act so dumb. Ask the players involved then you will understand what you want to poke your nose in . If I meant to injure him how come he continued and we all finished the match ? Talk to improve not to gain followers on social media .,,,,,,,,,,

Binafsi nimeona poa sana maana hawa wanaojiita wachambuzi nao wamezidi aiseeh, katika game ya jana wameona tukio moja tu......then huwa wanaexpress kitu si kwa kujenga bali kupata followers..........
Sababu akifanya mchezaji wa timu ndogo hukuti wanaizungumzia sana kama hivi,

Mechi ya Azam huyu Chama alipigwa ngumi na Akaminko,
Bajana alimchezea rafu mbaya sana Kanoute
Ila ile MITAMA ya kirusi putin ndiyo ilimake headline[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Game ya jana Sakho alipigwa kiwiko na mchezaji wa Ruvu Garrants
Sakho tuna alichezewa rafu mbaya na mchezaji wa ruvu na ikapelekea mkude kukasirika na yeye kwenda kucheza rafu iliyopelekea kupewa kadi,

Ukifanya marejeo ya video huyu aliyekanyagwa na chama alifanya kama vile kwa saido ntibanzokiza tuna mpaka kiatu kikavuka,na hiyo clip waliyoikata inaonesha nyuma huyu jamaa alikuwa anamkanyaga chama,ila wameamua kujimegea kipande chao na kukiongelea mitandaoni....
INAKERA SANA.

NB:SITETEI VITENDO VIOVU KTK SOKA,ILA TUSIWEKE MASLAHI MBELE BALI TUZINGATIE USAWA ...TUSIONEE
 
Kuna uhusiano mkubwa sana wa kuwa Makolokolo na Arsepimbi Fan kutokuwa na akili "umbumbumbu"

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Uliponikosha mtoa mada ni pale ulipoandika RUVU GARRANTS, hapo ndipo nilipojua uwezo wa mashabiki wengi wa Simba.
Nimekukosha eeeeehhh,na nitakukosha zaidi ukishindwa kubalance shobo....

Sasa kilichokushangaza ni nini hapo????au usichoelewa ni kipi?
 
Nimekukosha eeeeehhh,na nitakukosha zaidi ukishindwa kubalance shobo....

Sasa kilichokushangaza ni nini hapo????au usichoelewa ni kipi?
Usjifanye mjuaji kolo wewe, hakuna kitu kinaitwa GARRANTS ni GALLANTS, na tangu lini Ruvu Shooting wakawa Gallants?

Huu sio wakati wenu sahihi wa kuanzisha mada humu, wajinga wenzio wamepumzika wamewaacha wananchi watambe.
 
Nazani ni Muda Wa Chama kua mpiga mieleka. Huenda ana kipaji kikubwa Sana cha kuwachota watu mitama maana aliwahi kumkanyaga Feisal Hadi Dogo akapiga mayowe
 
Hahahahahaha hiyo utajua wewe ,kikubwa umeelewa....
Hujui kitu kenge wewe,tafuta kamusi kama hutolikuta hilo neno....kwanini unipangie cha kuandika????

Ukisikia paaaaaaahhhh limekupata....
 
Uliponikosha mtoa mada ni pale ulipoandika RUVU GARRANTS, hapo ndipo nilipojua uwezo wa mashabiki wengi wa Simba.
Usijali hawa ni MBUMBUMBU Sana halafu wala hawana presha ndo maana loser wanaita looser [emoji28]
Super League utasikia super cup [emoji38]
Leo gallants imekua garrants [emoji2957]

Rage aliona mbali sana
 
Nazani ni Muda Wa Chama kua mpiga mieleka. Huenda ana kipaji kikubwa Sana cha kuwachota watu mitama maana aliwahi kumkanyaga Feisal Hadi Dogo akapiga mayowe
Chama anawatesa sana utopolo
 
Kama hutetei vitendo viovu kwanini uisifie mitama ya Kanoute ??
 
Usijali hawa ni MBUMBUMBU Sana halafu wala hawana presha ndo maana loser wanaita looser [emoji28]
Super League utasikia super cup [emoji38]
Leo gallants imekua garrants [emoji2957]

Rage aliona mbali sana
Mmehamia kwenye lugha,
Takwimu za uwanjani zimewashinda kenge nyie

UTOPOLO HAMNA AKILI
 
Jose Mourinho alimpa shiiiit kama hizi Garry Neville alipotimuliwa ukocha huko Hispania🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…