Smart AJ
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 5,564
- 5,884
Huna data,huyo bwana ni utopolo wa kutupwa,uwe unauliza kabla hujasema kitu.Uzuri Chama ni Kolo na Huyo nani sijui nae Kolo. Kwa hiyo Makolo Mulibwanji.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna data,huyo bwana ni utopolo wa kutupwa,uwe unauliza kabla hujasema kitu.Uzuri Chama ni Kolo na Huyo nani sijui nae Kolo. Kwa hiyo Makolo Mulibwanji.
Na yule aliyesema nyie ni manyani hakukosea aiseeUsijali hawa ni MBUMBUMBU Sana halafu wala hawana presha ndo maana loser wanaita looser [emoji28]
Super League utasikia super cup [emoji38]
Leo gallants imekua garrants [emoji2957]
Rage aliona mbali sana
Eti kisa alisema simba wapewe 10m kwa kila goli ndio wanasema jamaa ni simbaHuna data,huyo bwana ni utopolo wa kutupwa,uwe unauliza kabla hujasema kitu.
4-2Ndio uneandika nini sasa hapo?
Kama hesabu rahisi tu ya 4 - 2 imekushinda sasa wewe si ni utopolo kabisa[emoji1787]
Sie tunawaangalia tu wanavyotifuana huku tunashangilia ubingwa wetu 😅Makolo wanagombana wenyewe kwa wenyewe😅
Ile rafu ilikuwa mbaya sana...Nazani ni Muda Wa Chama kua mpiga mieleka. Huenda ana kipaji kikubwa Sana cha kuwachota watu mitama maana aliwahi kumkanyaga Feisal Hadi Dogo akapiga mayowe
Musiba huyu huyu kiboko ya membe,au??
Bado ana kiwewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Usjifanye mjuaji kolo wewe, hakuna kitu kinaitwa GARRANTS ni GALLANTS, na tangu lini Ruvu Shooting wakawa Gallants?
Huu sio wakati wenu sahihi wa kuanzisha mada humu, wajinga wenzio wamepumzika wamewaacha wananchi watambe.
Hapo umenena.Huyo Jemedari huwa nafananisha akili zake na Musiba...