Chama Cloutus ampa makavu Jemedar Said

Sisi kama wanasimba tunaungana na wananchi wote na familia ya mpira kuwatakia ubingwa mwema ndugu zetu Yanga kwa kuchukua ubingwa kibabe. Hakika tuna la kujifunza kutoka kwa WANANCHI.
 
Usijali hawa ni MBUMBUMBU Sana halafu wala hawana presha ndo maana loser wanaita looser [emoji28]
Super League utasikia super cup [emoji38]
Leo gallants imekua garrants [emoji2957]

Rage aliona mbali sana
Na yule aliyesema nyie ni manyani hakukosea aisee
 
Ndio uneandika nini sasa hapo?

Kama hesabu rahisi tu ya 4 - 2 imekushinda sasa wewe si ni utopolo kabisa[emoji1787]
4-2
Ulijuaje Leo tutashinda hivo? [emoji172][emoji169]
Hehehhh kombe la 29 Hilo kabatini nyie endeleeni kupiga watu mitama na mateke [emoji2957]
 
Sisi kama wanasimba tunaungana na wananchi wote na familia ya mpira kuwatakia ubingwa mwema ndugu zetu Yanga kwa kuchukua ubingwa kibabe. Hakika tuna la kujifunza kutoka kwa WANANCHI.
 
Usjifanye mjuaji kolo wewe, hakuna kitu kinaitwa GARRANTS ni GALLANTS, na tangu lini Ruvu Shooting wakawa Gallants?

Huu sio wakati wenu sahihi wa kuanzisha mada humu, wajinga wenzio wamepumzika wamewaacha wananchi watambe.
Bado ana kiwewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Chama ana stahili adhabu Kali, ameshaponyoka bila kuchukuliwa hatua kwenye matukio kadhaa ambayo yalikua yakihatarisha afya ya mchezaji mwingine.

Chakushangaza katika ayo matukio hakuwahi kuadhibiwa, haileweki ni Kwa bahati Mbaya au ni mipango ya FA.
Faulo aliyocheza juzi ni un sports man faul,
Tackling from behind ya Basile Boli ilipelekea Marco Van basten kustaafu mpira akiwa bado mtamu.
Kama Refa hakuona tukio la Chama kucheza aina Ile ya faulo tunategemea kamati ya nidhamu ya bodi Ligi ichukiwe hatua haraka ilinkuondoa double standard.

Mbaya zaidi ya Chama haikua tackling kwakua mchezaji wa Ruvu Hakua na mpira mguuni bali ni shambulio la maksudi Kwa kukita kisigino Cha mwenzake akitokea nyuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…