Tundu Lisu alitabiri na sasa yameshaanza. Lakini nadhani kuna siku Rwanda itaingia tena kwenye civil war, hii hali haitadumu milele, hapana! Watakaokuwepo watasoma post hii!Kuna mtabiri aliwahi Kusema Akimalizana na Sisi Atakuja Kwenu!
Huko huko, lakini with current trends, hata mabeberu wanawzxa kusupport civil war ikianziswa na wasioweza kustahimili uonevu wa sasa. Nguvu ya umma haiwezekani kwa sasa, tu waogoa wa kufa sana tena sana!Na sisi tunaelekea wapi?
Tunajiona tunakoelekea na siku hizi kila unapoongea na mtukufu ni lazima uanze na pongezi za ujenzi wa reli, barabara, ununuzi wa ndege na usifie uongozi wa awamu ya tano.Huko huko, lakini with current trends, hata mabeberu wanawzxa kusupport civil war ikianziswa na wasioweza kustahimili uonevu wa sasa. Nguvu ya umma haiwezekani kwa sasa, tu waogoa wa kufa sana tena sana!
HATUELEKEI HUKO UNAKOFIKIRIA HATA SIKU MOJA OMBEENI MABAYA LAKINI HAYAJI MAANA NDIYO MNALOLITAKANa sisi tunaelekea wapi?
By the way, obiter, Nimesoma mahali Lisu anasema atarejea marafiki watakaposema niko salama! Nimejiuliza marafiki gani> Ametaja mashirika ya haki za binadamu, serikali etc. Napata shida kidogo!Tunajiona tunakoelekea na siku hizi kila unapoongea na mtukufu ni lazima uanze na pongezi za ujenzi wa reli, barabara, ununuzi wa ndege na usifie uongozi wa awamu ya tano.
lisu haeleweki anataka niniBy the way, obiter, Nimesoma mahali Lisu anasema atarejea marafiki watakaposema niko salama! Nimejiuliza marafiki gani> Ametaja mashirika ya haki za binadamu, serikali etc. Napata shida kidogo!
Lissu si mjinga, baada ya yaliyomtokea kurejea kwake ni lazima usalama wake awe na uhakika nao.By the way, obiter, Nimesoma mahali Lisu anasema atarejea marafiki watakaposema niko salama! Nimejiuliza marafiki gani> Ametaja mashirika ya haki za binadamu, serikali etc. Napata shida kidogo!
umeona hicho tu ? tatizo hamjui kuwa ndege zinapromote vitu vingi kama utalii siyo daladala hizo mkuu
Inabidi umfahamu mtanzania na hulka zake, siku zote anataka afanye kazi yenye thamani ya shiingi milioni moja halafu mwisho wa mwezi alipwe milioni kumi.umeona hicho tu ? tatizo hamjui kuwa ndege zinapromote vitu vingi kama utalii siyo daladala hizo mkuu
Hapana watanzania ni wavumilivu sana, Mauro ya korosho ya msimu uliopita wengine hawajapata mpaka sasa hiviInabidi umfahamu mtanzania na hulka zake, siku zote anataka afanye kazi yenye thamani ya shiingi milioni moja halafu mwisho wa mwezi alipwe milioni kumi.
Nami ninaungana nawe ,watakaokuwepo wataisoma hii ya kwangu pia,Sudan jana chama tawala chao kimefutwa kitu ambacho kilikuwa ndoto ya saa saba mchana na jua kali!!Zanu PF kipo kwenye ICU,SWAPO kinakabiliwa na mtihani mkubwa sana kipindi hiki(ke amejitokeza kupambana SIO me),Botswana hapo chama tawala wanayumba(pamoja na kushinda uchaguzi kwa mbinde).always muda ni ukuta.Tundu Lisu alitabiri na sasa yameshaanza. Lakini nadhani kuna siku Rwanda itaingia tena kwenye civil war, hii hali haitadumu milele, hapana! Watakaokuwepo watasoma post hii!
Tena CCM kwa ukatili inaoufanya kwa wapinzani/wananchi, itakufa na maangamizi ya koo zao wanaotesa watu sasa. Watu wameweka mafundo makubwa. Unadhani say motto wa jiwe yuko slama? Siro? Bashiru? Polepole? Wakati utaongea.Nami ninaungana nawe ,watakaokuwepo wataisoma hii ya kwangu pia,Sudan jana chama tawala chao kimefutwa kitu ambacho kilikuwa ndoto ya saa saba mchana na jua kali!!Zanu PF kipo kwenye ICU,SWAPO kinakabiliwa na mtihani mkubwa sana kipindi hiki(ke amejitokeza kupambana SIO me),Botswana hapo chama tawala wanayumba(pamoja na kushinda uchaguzi kwa mbinde).always muda ni ukuta.