Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Tanzania kuna vyama vya kisiasa zaidi ya 20 vyenye usajili wa kudumu. hata hivyo, vipo zaidi ya hivyo vyenye usajili wa muda kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa.
Je, ni kipi kwa maoni yako?
Miongoni mwa vya vyama vya siasa vya upinzani, chenye usajili wa kudumu, ambacho kipo hai, chenye muundo imara na mzuri wa kitaasisi, chenye uongozi unao eleweka kwa awamu, chenye katiba nzuri, chenye wanachama wengi zaidi ya mashabiki, chenye sera nzuri mbadala, chenye mikakati ya kuvutia wananchi, chenye mipango na uelekeo wa chama cha upinzani kweli, na ambacho angalau kina aminika kwa wananchi kwa sasa?
Kitaje na useme kidogo kwanini hicho 🐒