Heavy Metal
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 881
- 2,077
Clatous Chota Chama aka triple C Mwamba wa Lusaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona sera zenu zimeshindwa kuinua kipato cha mtu mmojammoja? Mnanikumbusha kuhusu ukahabaTanzania kuna vyama vya kisiasa zaidi ya 20 vyenye usajili wa kudumu. hata hivyo, vipo zaidi ya hivyo vyenye usajili wa muda kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa...
Je, ni kipi kwa maoni yako,
miongoni mwa vya vyama vya siasa vya upinzani, chenye usajili wa kudumu, ambacho kipo hai, chenye muundo imara na mzuri wa kitaasisi, chenye uongozi unao eleweka kwa awamu, chenye katiba nzuri, chenye wanachama wengi zaidi ya mashabiki, chenye sera nzuri mbadala, chenye mikakati ya kuvutia wananchi, chenye mipango na uelekeo wa chama cha upinzani kweli, na ambacho angalau kina aminika kwa wananchi kwa sasa?
kitaje na useme kidogo kwanini hicho 🐒
Hana anachojua huyo.Ushabiki tu.Mbona sera zenu zimeshindwa kuinua kipato cha mtu mmojammoja?
Ukweli ndiyo huo.Hana anachojua huyo.Ushabiki tu.
Akibisha anatandikwa mboko za shingo.Ukweli ndiyo huo.
licha ya kwamba bado wanaendelea kugawanyika na kuvurugana miongoni mwao, wao kwa wao lakini bado wapo tu, right?🐒CHADEMA ilimeremeta na inameremeta na itaendelea kumeremeta mpaka mwisho wa dunia kwa sababu ilianza na Mungu,na inalindwa na Mungu japo ccm,vyombo vya ulinzi na usalama pamoja na machawa wanapambana usiku kucha kila siku kuivuruga lakini nuru yake bado inawaka na Mungu ataendelea kuilinda CHADEMA kwa sababu inaamini katika WATU walioumbwa kwa mfano wake na haiamini katika Mapinduzi kama jirani zao wanavyofanya kizuri kinakuwa kibaya na kibaya kinakuwa kizuri.Chama cha dhuluma,utapeli,ujambazi,rushwa na kuishi kwa kutegemea watawala.
gentleman 🐒Sera ndio zingekuwa zinatoa uongozi kwa chama, tungeongelea sera kama kigezo Cha wananchi kukubali chama fulani. Lakini kwa hizi chaguzi za kishenzi unawezaje kuongelea sera kama kipimo Cha chama kukubalika na wananchi?
Hana anachojua huyo.Ushabiki tu.
You can implement national policies with working government machineries even companies and other organizations have policies but national policies are intended to support welfare of the citizenssera za chama gani cha upinzani zimeshindwa kuinua kipato cha mtu moja moja, gentleman?🐒
I did not get your question, can you come back please!, for me to give an appropriate answer, you said open motion without specificationsI think working government in place, will be the story and topic for other day,
can we focus on a very open motion on the table? 🐒