CHADEMA=Chama cha Demokrasia na Maendeleo kinachoamini katika Uhuru na Watu.Kwamba bila watu hakuna Uhuru na Maendeleo na bila Uhuru wa kweli hakuna Haki,Wajibu na maendeleo ya kweli.Tanzania kuna vyama vya kisiasa zaidi ya 20 vyenye usajili wa kudumu. hata hivyo, vipo zaidi ya hivyo vyenye usajili wa muda kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa...
Je, ni kipi kwa maoni yako,
miongoni mwa vya vyama vya siasa vya upinzani, chenye usajili wa kudumu, ambacho kipo hai, chenye muundo imara na mzuri wa kitaasisi, chenye uongozi unao eleweka kwa awamu, chenye katiba nzuri, chenye wanachama wengi zaidi ya mashabiki, chenye sera nzuri mbadala, chenye mikakati ya kuvutia wananchi, chenye mipango na uelekeo wa chama cha upinzani kweli, na ambacho angalau kina aminika kwa wananchi kwa sasa?
kitaje na useme kidogo kwanini hicho π
Chaga development manifesto (CHADEMA)CHADEMA=Chama cha Demokrasia na Maendeleo kinachoamini katika Uhuru na Watu.Kwamba bila watu hakuna Uhuru na Maendeleo na bila Uhuru wa kweli hakuna Haki,Wajibu na maendeleo ya kweli.
CHADEMA ilimeremeta na inameremeta na itaendelea kumeremeta mpaka mwisho wa dunia kwa sababu ilianza na Mungu,na inalindwa na Mungu japo ccm,vyombo vya ulinzi na usalama pamoja na machawa wanapambana usiku kucha kila siku kuivuruga lakini nuru yake bado inawaka na Mungu ataendelea kuilinda CHADEMA kwa sababu inaamini katika WATU walioumbwa kwa mfano wake na haiamini katika Mapinduzi kama jirani zao wanavyofanya kizuri kinakuwa kibaya na kibaya kinakuwa kizuri.Chama cha dhuluma,utapeli,ujambazi,rushwa na kuishi kwa kutegemea watawala.Hakuna vyama vya upinzani vinategemea MTU badala ya Sera
Mfano Chadema kilimeremeta Sana kipindi Mzee Mtei,na Kabarou na Slaa na Lowasa akiwa Chadema kiliwaka hasa
CUF kiliwaka hasa Maalim Seif Shariff Hamad akiwepo
TLP ilimeremeta Sana alipikuwepo Mrema
NCCR mageuzi pia iliwaka Sana wakiweko Akina Marando
Chama kinatakiwa kuwe Tu kinameremeta bila kuangalia MTU kinajijenga chenyewe kama chenyewe sio ohhh kama Fulani hayupo chama hamna
Na ndiyo maana Wachaga ni kabila tajiri kuliko makabila mengine Tanzania.Chaga development manifesto (CHADEMA)
Sera zao zilikua nzuri alizutumia shujaa Magu wakazikana na kuanza kutetea wezi na kukataa ujenzi wa maendeleo hivi sasa wanaangalia matumbo na matukio kwa sera hakuna!Tanzania kuna vyama vya kisiasa zaidi ya 20 vyenye usajili wa kudumu. hata hivyo, vipo zaidi ya hivyo vyenye usajili wa muda kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa...
Je, ni kipi kwa maoni yako,
miongoni mwa vya vyama vya siasa vya upinzani, chenye usajili wa kudumu, ambacho kipo hai, chenye muundo imara na mzuri wa kitaasisi, chenye uongozi unao eleweka kwa awamu, chenye katiba nzuri, chenye wanachama wengi zaidi ya mashabiki, chenye sera nzuri mbadala, chenye mikakati ya kuvutia wananchi, chenye mipango na uelekeo wa chama cha upinzani kweli, na ambacho angalau kina aminika kwa wananchi kwa sasa?
kitaje na useme kidogo kwanini hicho π
Magu alitaka kuiga sera za CHADEMA wenye ccm wakamkalia vibaya badala yake akaingia kichwa kichwa kuwatesa CHADEMA ili kuwaridhisha wenye ccm na alipofanikiwa kuwaondoa CHADEMA kwenye mfumo wenye ccm wakamwondoa mazima kwa kuogopa kuwa ataanza kuwashughulikia wao.Sera zao zilikua nzuri alizutumia shujaa Magu wakazikana na kuanza kutetea wezi na kukataa ujenzi wa maendeleo hivi sasa wanaangalia matumbo na matukio kwa sera hakuna!
HAKUNA WOTE JANJA JANJA TU hahaaaa mboweTanzania kuna vyama vya kisiasa zaidi ya 20 vyenye usajili wa kudumu. hata hivyo, vipo zaidi ya hivyo vyenye usajili wa muda kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa...
Je, ni kipi kwa maoni yako,
miongoni mwa vya vyama vya siasa vya upinzani, chenye usajili wa kudumu, ambacho kipo hai, chenye muundo imara na mzuri wa kitaasisi, chenye uongozi unao eleweka kwa awamu, chenye katiba nzuri, chenye wanachama wengi zaidi ya mashabiki, chenye sera nzuri mbadala, chenye mikakati ya kuvutia wananchi, chenye mipango na uelekeo wa chama cha upinzani kweli, na ambacho angalau kina aminika kwa wananchi kwa sasa?
kitaje na useme kidogo kwanini hicho π
Sera ndio zingekuwa zinatoa uongozi kwa chama, tungeongelea sera kama kigezo Cha wananchi kukubali chama fulani. Lakini kwa hizi chaguzi za kishenzi unawezaje kuongelea sera kama kipimo Cha chama kukubalika na wananchi?Tanzania kuna vyama vya kisiasa zaidi ya 20 vyenye usajili wa kudumu. hata hivyo, vipo zaidi ya hivyo vyenye usajili wa muda kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa...
Je, ni kipi kwa maoni yako,
miongoni mwa vya vyama vya siasa vya upinzani, chenye usajili wa kudumu, ambacho kipo hai, chenye muundo imara na mzuri wa kitaasisi, chenye uongozi unao eleweka kwa awamu, chenye katiba nzuri, chenye wanachama wengi zaidi ya mashabiki, chenye sera nzuri mbadala, chenye mikakati ya kuvutia wananchi, chenye mipango na uelekeo wa chama cha upin
Bongo ni kuna chama kimoja tuu cha siasa, chama kwa maana halisi ya chama cha siasa, ambacho ni one and only, chama dola, kimezungukwa na vyama makapuku, mpango mzima ni kulamba tuu ruzuku, lakini hakuna upinzani wowote wa maana!.
- Japo kazi ya upinzani ni kupinga, lakini sio kupinga kila kitu. Kwenye maslahi ya taifa, tutangulize utaifa, tuwe wamoja, wakweli na tusipotoshe
- Kama Upinzani unataka mafaniko ya kweli iachane na 2025 lengo liwe 2030
- Upinzani wa Tanzania ni Upinzani Makini wa Kweli, au ni Upinzani Uchwara? Kasi ya JPM Itaua Upinzani Uchwala na Kuibua Upinzani Makini wa Kweli Au?
P
- Uchaguzi 2020 - Je, Tanzania tuna upinzani makini, upinzani wa kweli wa kuing'oa CCM madarakani au bado sana? Nilichoshuhudia leo uzinduzi CHADEMA, kiukweli...
- Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?
- Handling of Serious Security Issues: Kama CHADEMA Takes Things For Granted Kwa Uzembe Hivi!, Jee Ikulu Yetu Wangeiweza?
Hicho kitakuwa chako na genge lako la vibaka.Chaga development manifesto (CHADEMA)
Hata chama cha wakunga?