Chama gani cha upinzani Tanzania angalau kina sera na uelekeo wa kuaminika kwa sasa?

Mbona sera zenu zimeshindwa kuinua kipato cha mtu mmojammoja? Mnanikumbusha kuhusu ukahaba
 
Mbona sera zenu zimeshindwa kuinua kipato cha mtu mmojammoja? Mnanikumbusha kuhusu ukahaba
sera za chama gani cha upinzani zimeshindwa kuinua kipato cha mtu moja moja, gentleman?πŸ’
 
Sijakiona chama chochote cha kutuvusha na kutupeleka kule tunakotaka kwenda..wote wapo kufaidisha matumbo yao
kwahiyo unataka kusema wapinzani wapo wapo tu, hawajui wanataka nini au wanaelekea wapi, right?πŸ’
 
licha ya kwamba bado wanaendelea kugawanyika na kuvurugana miongoni mwao, wao kwa wao lakini bado wapo tu, right?πŸ’
 
Sera ndio zingekuwa zinatoa uongozi kwa chama, tungeongelea sera kama kigezo Cha wananchi kukubali chama fulani. Lakini kwa hizi chaguzi za kishenzi unawezaje kuongelea sera kama kipimo Cha chama kukubalika na wananchi?
gentleman πŸ’
uchaguzi tutaongelea siku ingine kwa kirefu,
ni chama gani cha upinzani nchini angalau kina sera na walau mipango inayoweza kuvutia na kubeba matumaini ya wananchi?πŸ’

usiogope wala usione aibu kutaja, be free kamanda πŸ’
 
Hana anachojua huyo.Ushabiki tu.

sera za chama gani cha upinzani zimeshindwa kuinua kipato cha mtu moja moja, gentleman?πŸ’
You can implement national policies with working government machineries even companies and other organizations have policies but national policies are intended to support welfare of the citizens
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…