Kwani kuna sheria TZJamiiforums,
Kimahesabu Hakuna uwezekano wa chama chochote Katika bunge lenye viti maalum 115 kupata viti viwili.
Namba huwa hazidanganyi. Kitu Kama hicho ni uongo.
IPO Hivi, ili ushiriki kupata viti maalum Inabidi uwe na angalau asilimia 5 ya kura za wabunge.
Ukiwatoa wale wa kura za wabunge chini ya asilimia 5. Hii ya angalau asilimia 5 ambayo chama kimepata inapanda kidogo. Kwahiyo idadi ya chini chama cha Chaumma kingeweza kupata ni viti sita.
Viti viwili ni usanii na uongo na kushindwa hata kujua namba. Hakuna uwezekano huo wa viti viwili.
Hapana, ni kura za wabunge ambazo chama kimepata.Kura za uraisi ndiyo zinazo determine kitu nafasi za viti maalum
Huu haukua uchaguzi bali ilikuwa ni kulawitiana kwa zamu kwa washiriki wote.Jamiiforums,
Kimahesabu Hakuna uwezekano wa chama chochote Katika bunge lenye viti maalum 115 kupata viti viwili.
Namba huwa hazidanganyi. Kitu Kama hicho ni uongo.
IPO Hivi, ili ushiriki kupata viti maalum Inabidi uwe na angalau asilimia 5 ya kura za wabunge.
Ukiwatoa wale wa kura za wabunge chini ya asilimia 5. Hii ya angalau asilimia 5 ambayo chama kimepata inapanda kidogo. Kwahiyo idadi ya chini chama cha Chaumma kingeweza kupata ni viti sita.
Viti viwili ni usanii na uongo na kushindwa hata kujua namba. Hakuna uwezekano huo wa viti viwili.
Wewe umeelewa point yangu? Au hata kusoma haujui?Wengine hawataki kabisa bunge na serikali yake
Wengine wanataka viti viongezwe😅😅
Hii 5% umeitoa wapi? Katiba, sheria au kanuni?Jamiiforums,
Kimahesabu Hakuna uwezekano wa chama chochote Katika bunge lenye viti maalum 115 kupata viti viwili.
Namba huwa hazidanganyi. Kitu Kama hicho ni uongo.
IPO Hivi, ili ushiriki kupata viti maalum Inabidi uwe na angalau asilimia 5 ya kura za wabunge.
Ukiwatoa wale wa kura za wabunge chini ya asilimia 5. Hii ya angalau asilimia 5 ambayo chama kimepata inapanda kidogo. Kwahiyo idadi ya chini chama cha Chaumma kingeweza kupata ni viti sita.
Viti viwili ni usanii na uongo na kushindwa hata kujua namba. Hakuna uwezekano huo wa viti viwili.
Hayo matakwa ya katiba na sheria ya vyama ya mwaja 1992.Hii 5% umeitoa wapi? Katiba, sheria au kanuni?
Ibara ya 66(i) haisemi idadi....Hayo matakwa ya katiba na sheria ya vyama ya mwaja 1992.
Ibara ya 66(i).b ya Katiba inataja utaratibu, idadi na mgawanyo wa wabunge wa viti maalumu baina ya vyama vilivyoshiriki uchaguzi. Sheria ya vyama vya siasa no.4 ya mwaka 1992 inasema chama chenye haki ya kupata viti maalumu ni ambacho kimefikisha angalau 5% ya idadi ya kura zote za wabunge pamoja na 5% ya idadi ya kura za Urais.
ACT Wana wabunge wangapi viti maalum?..viti maalum ni kura za uraisHapana, ni kura za wabunge ambazo chama kimepata.
Kuna conditions mbili. Chama kipate angalau asilimia tano kura za wabunge na asilimia tano kura za uraisi.
Lakini kupata idadi ya viti maalum zinatumika kura za wabunge ambazo chama kimepata.
Kwenye udiwani zinatumika kura za udiwani ambazo chama kimepata kwenye Jimbo.
Sio kweli Tanzania tunatumia D'Hondt method of proportion. At least 5% ya kura zote za ubunge ndio unakua eligible kwa viti maalum.Kura za uraisi ndiyo zinazo determine kitu nafasi za viti maalum
Ni Samia tu kaamua kuwapa ili kuonesha Tanzania napo kuna upinzani.Sio kweli Tanzania tunatumia D'Hondt method of proportion. At least 5% ya kura zote za ubunge ndio unakua eligible kwa viti maalum.
CHAUMMA hawajafikisha 5% ya either kura za urais au ubunge. Sasa wametoa wapi viti viwili?