Chama hufanya vizuri katika mechi zenye low quality ya wachezaji Hilo halina ubishi maana mpira haudanganyi

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Baada ya mchezo wa simba vs vipers zimeibuka nyuzi humu za kuanza kumpamba chama, yaani Kama hufatilii mpira wa bongo unaweza ukadhani ronadinho amezaliwa bongo au mess kaja kucheza simba kwa mkopo.

Gemu ya Azam vs simba, simba alidondosha pointi mbili mbele ya Wana lambalamba Azam, chama alicheza na hakuonekana kabisa kiufupi alifichwa hiyo ni kutokana na quality players ya wachezaji wa Azam.

Ndiyo, tukija kwenye gemu ya simba vs Rajacasablanca, simba wanapigwa bao tatu kwa mtungi Tena kwa mkapa, hiyo mechi chama alicheza lakini namba yake ulikua ni kuzurura uwanjani tu,
Na hiyo kwa sababu raja Wana quality players na ndiyo maana chama akafichwa kwapani mpaka kocha wa raja akasema

"hatujaona mchezaji wa simba anayeweza kuichezea raja"

Twende kwenye mechi ya horoya dhidi ya simba, hapo napo chama alishiriki Kama mchezaji wa simba tu hakuna alichokionyesha na alifichwa mpaka mashabiki wa simba wakalalamika kuwachama apumnzishwe.

Ukitaka chama awe ronadinho au mess mchezeshe na ruvu, dar city hapo ndipo utakapo mtambua chama kuwa ni maradona wa bongo.

NB. mpira haudanganyi wala mpira siyo mchezo wa simulizi huyo chama ni mchezaji wakawaida sana kuliko na vile mashabiki na wachambuzi wa mchongo mnavyompamba inafikia hatua mnaanza kumshindanisha na malegend wetu waliofanya makubwa ambapo huyo chama hata theluthi hafiki.
 
Mliopo karibu na wana utopolo tusaidieni kuwanyang'anya simu, maumivu yamekuwa makali sana wanaropokwa tu huku mtandaoni..
 
Baada ya mchezo wa simba vs vipers zimeibuka nyuzi humu za kuanza kumpamba chama, yaani Kama hufatilii mpira wa bongo unaweza ukadhani ronadinho amezaliwa bongo au mess kaja kucheza simba kwa mkopo...
Huwa sielewi kwanini mchezaji ambaye ana low quality kama wengi wanavyodai ndiyo huwa anaanzishiwa nyuzi kila wakati what went wrong?
 
So kipa wa Vipers ni mbaya?
Kaokoa michomo mingapi ila kakubali tobo la chama
Mnashabikia matobo? Mbona ni kawaida sana Aziz ki anawatia kina mohamed hussein kila wakikutana, au una jingine labda
 
Pamoja na yote hayo bado Chama ni best player.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…