Chama hufanya vizuri katika mechi zenye low quality ya wachezaji Hilo halina ubishi maana mpira haudanganyi

Chama hufanya vizuri katika mechi zenye low quality ya wachezaji Hilo halina ubishi maana mpira haudanganyi

hata yanga ni timu ndogo maana alitoa pass kwa Okra akiwa amezungukwa na matopolo matatu na Okra akafunga goli
 
Chama atawaua kwa presha enyi wala mihogo. Kule kuanzisha tu uzi unaomhusu chama kila siku ni ishara kuwa mnamkubali Sana chama ila mnashindwa kuelezea mahaba mliyonayo kwa chama
IMG-20220913-WA0014.jpg
20230206_221150.jpg
 
Huo ndio mpira ulivyo huwezi kuwa kwenye form mechi zote
Wameshamuanzishia Aziz kii wao uzi eti ana homa ya vipindi..hao hao wanamtetea hawezi kuwa kwny form muda wote...ila Chama yy kwao naona sio binadamu ni predator..
 
Ukitaka chama awe ronadinho au mess mchezeshe na ruvu, dar city hapo ndipo utakapo mtambua chama kuwa ni maradona wa bongo.

Kuna timu nyingine hii mbovu ilifungwa na Chama, na aling'ara

1678373092874.png
 
Mtakatifu Chama👇😁😁😁
 
Sema lingine
 

Attachments

  • FrG9wLpagAA_BG6.jpg
    FrG9wLpagAA_BG6.jpg
    38.7 KB · Views: 5
As vital timu ndogo anakufa 2_1 ankufa 4_1 chama effect
Nkana timu ndogo
Yanga timu ndogo
Kaizer chief ndogo
Azam timu ndogo
Sitaki niendelee kama izo hapo timu ndogo mleta mada thibitisha
Sasa unataka nithibitishe nin??

Gemu ya rajacasablanca chama alikwenda kuchezea wapi.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom