rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Wameshamuanzishia Aziz kii wao uzi eti ana homa ya vipindi..hao hao wanamtetea hawezi kuwa kwny form muda wote...ila Chama yy kwao naona sio binadamu ni predator..Huo ndio mpira ulivyo huwezi kuwa kwenye form mechi zote
Hawa ndo vyura orijinoChama atawaua kwa presha enyi wala mihogo. Kule kuanzisha tu uzi unaomhusu chama kila siku ni ishara kuwa mnamkubali Sana chama ila mnashindwa kuelezea mahaba mliyonayo kwa chama
View attachment 2543006View attachment 2543010
Ukitaka chama awe ronadinho au mess mchezeshe na ruvu, dar city hapo ndipo utakapo mtambua chama kuwa ni maradona wa bongo.
Huo ndyo mfano wenu
As vital timu ndogo anakufa 2_1 ankufa 4_1 chama effectHuo ndyo mfano wenu
Kwani unadhani goli nne ni chache?Huo ndyo mfano wenu
Kaonekana Bora kwenye timu bovu sitotengua kauli yangu.Sema lingine
Sasa unataka nithibitishe nin??As vital timu ndogo anakufa 2_1 ankufa 4_1 chama effect
Nkana timu ndogo
Yanga timu ndogo
Kaizer chief ndogo
Azam timu ndogo
Sitaki niendelee kama izo hapo timu ndogo mleta mada thibitisha
Mchezo wa marudiano na Raja hii kauli imethibitika, analitaka pasi mkaa na kupokonywa mipira kirahisi.Sasa unataka nithibitishe nin??
Gemu ya rajacasablanca chama alikwenda kuchezea wapi.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Jana kafichwa hakuonekana Kama nyeti ndani ya boksa.Mchezo wa marudiano na Raja hii kauli imethibitika, analitaka pasi mkaa na kupokonywa mipira kirahisi.
Hili ndiyo kombe lenu au Jana umeona alivyokua anakoromeana na wachezaji tu.pasha uingie