Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Mm japo ni Simba ila EDIBILY JONAS LUNYAMILA
Bora wewe umesema ukweli chama ni chezaji la mtibwa na ruvuMm japo ni Simba ila EDIBILY JONAS LUNYAMILA
WINGA HATARI KUWAI KUTOKEA..
Mechi za ihefu na ndanda ...ndipo utamuona chama
Mzee Chama
KWELI mkuu [emoji16]Mechi za ihefu na ndanda ...ndipo utamuona chama
Chama Juzi alikua anacheza Kama putinMzee Chama
Nimegundua group letu lilikuwa na timu dhaifu.