Chama Kikuu cha Upinzani nchini ni ACT- Wazalendo siyo CHADEMA

Yaani CCM ni jalala kwelikweli.

Kama kina Mchopanga ndio Crème de la crème mpaka wanapewa U-DC, jiulize waliobaki huko wana viwango gani/
 
Kilaza kama wewe hata kuandika kiswahili fasaha huwezi unaweza kuwa na hoja yenye mashiko?
Kilaza niyule kanjanja aliekusanya vikaratasi jalalani nakututapeli atavipeleka mahaka za kimataifa halafu akatula chenga kubwaa.
 
Kuna siku wakakiri walitumia kura feki kushinda uchaguzi
 

Unatumia chaguzi zisizo za kidemokrasia au wanachama ! Upizani ni idadi ya wanachama sio Chaguzi ambazo kila mtu anajua hazikuwa za kidmokrasia idadi ya wanachama ndiyo kipimo cha kweli
 
Kweli kabisa.

Amandla...
 
mkono hoja.
Chama kikuu cha Upinzani nchini Tanzania ni ACT Wazalendo, kwasababu kina wabunge Bara na Visiwani, pia kina wawakilishi ndani ya Baraza la Wawakilishi.
Chama Kikuu cha Upinzani, Tanzania Bara ni Chadema. Kina mbunge mmoja bara, hakina mbunge Zanzibar wala mwakilishi.
Chama Kikuu cha Upinzani Zanzibar ni ACT Wazalendo, kina wabunge na wawakilishi.

Ili Upinzani ufanikiwe lazima wapinzani washirikiane.

Baada ya Upinzani kushinda Zambia, najua kuna Watanzania wengi na haswa wapinzani na wapenda mabadiliko, watafurahia matokeo ya Zambia kwa imani na matumaini kuwa hiki kilichotokea Zambia, "if it can happen in Zambia, then one day it can also happen in Tanzania". Hivyo na Tanzania kuna siku Upinzani utashinda, uchaguzi, kutangazwa na kuongoza nchi. Naomba niwaandae kisaikolojia, "Zambia is Zambia na Tanzania ni Tanzania" Kwa Tanzania, sisi bado sana, maana ni kama hatuna any serious opposition ya kuikabidhi ikulu yetu, hivyo CCM itatawala mile...!, naomba nisimalizie- Pasco.

P
 
Sawa
 
Chadema ile ni branch yetu kwa sasa yaani tunaucontrol tunavyotaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…