bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Tatizo la Africa sio vyama hata nchi waliobadili vyama hawana tofauti na wasiobadili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM imezeeka,Akili zako za nyumbu kwani ukoo wenu bado mnaishi nyumba ileile miaka 60 toka babu na bibi zenu hadi leo? Hamkujenga nyingine? Hamjaongezeka? Vitanda na meza bado vilevile hamjanunua wala kuongeza vingine vilivyo bora?
Akili za kipumbavu sana kuwaza maisha ya miaka 60 iliyopita yawe yaleyale Hadi leo.
Watoto wawe walewale, madarasa Yale yale! Pumbavu. Kisa Mbowe yuleyule wakati CCM mwenyekiti anabadilika kila miaka 10.
Mbadala wa CCM (ikibidi) ni yule atakayepata kura nyingi za wananchi watakaopiga kura kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika kihalali na kwa haki. Sio kama ule ujinga uliofanywa 2019 na 2020.sasa mbona ni malalamiko tu na hakuna suluhisho mbadala 🐒
Chama kikizeeka, sharti kibadilishwe,Tatizo la Africa sio vyama hata nchi waliobadili vyama hawana tofauti na wasiobadili