Chama kimoja kwa miaka 62 ni uzee tosha, tukibadili

Tatizo la Africa sio vyama hata nchi waliobadili vyama hawana tofauti na wasiobadili
 
CCM imezeeka,

Kubadili mkt Kila baada ya miaka 10, ni sawa tu na Mzee kupaka PIKO Kila baada ya miezi 3.
 
sasa mbona ni malalamiko tu na hakuna suluhisho mbadala 🐒
Mbadala wa CCM (ikibidi) ni yule atakayepata kura nyingi za wananchi watakaopiga kura kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika kihalali na kwa haki. Sio kama ule ujinga uliofanywa 2019 na 2020.

Hakuna mtu binafsi (individual) anayeweza kujua (kwa uhakika) mbadala wa CCM nje ya uchaguzi huru na wa haki. Hata kujua kama CCM imechokwa au haijachokwa ni vivyo hivyo TU.

Nje ya hapo ni USHIRIKINA.
 
Hiki chama kimepoteza sifa ya kuja mbele ya JAMII kuomba nafasi ingine ya kutuongoza Watanzania Kwa ngazi zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…