Kila nyakati za uchaguzi na zisizo za uchaguzi, mfumo wa shughuli zakisiasa ni chonganishi kwa wananchi na si rafiki kwa wananchi.
Kuna umuhimu wakuendelea kuwa kujiita tuna mfumo wa vyama vingi?
Kila nyakati za uchaguzi na zisizo za uchaguzi,mfumo wa shughuli zakisiasa ni chonganishi kwa wananchi na si rafiki kwa wananchi.
Kuna umuhimu wakuendelea kuwa kujiita tuna mfumo wa vyama vingi?
Ukosefu wa Akili kutafsiri hivyo Ccm ipo Madaraka kwa 60 inaogopa
Siasa za Vyama vingi,
Inaogopa Katiba Mpya
Inaogopa Mikutano ya Hadhara na ya NDANI
Inakamata Wanasiasa wa Upinzani AIBU KUBWA