Tman900
JF-Expert Member
- May 30, 2017
- 969
- 3,071
Mi kwa mtazamo wangu, naona Haliwezekani Chama kilicho shika Dola, kuachia mamlaka kwa kupitia Box la kupigia kura kwa nikiangalia mfumo ulivyo, na Katiba ya Nchi inambeba alieko madarakani kwa Kila nafasi, Kwanza yeye ndio anaechagua Tume ya Uchaguzi.
2. Polisi Wote wanatumika kwa maslahi ya Watawala sio Kila amri inakua na usawa ktk maamuzi, Sasa kwa haya machache tu Hapa ni ngumu kwa Chama chochote kukitoa Chama Tawala,
Ila Kwa mtazamo wangu, kupiga kura katika Uchaguzi sio Guarantee ya kumchagua Kiongozi anaetakiwa na wananchi kwani walio katika mfumo wanajua Nini wanachofanya, sasa kijana wakitanzania kipindi hiki cha Uchaguzi Tuliza akili maana Walioko madarakani watabaki hao hao, hakuna Kinachobadilika, kwa Fanya mambo yako, Wanaonufaika na Siasa wanajua wanachokifanya kwanye Siasa hakuna ukweli wa kudumu, na hakuna uwongo wa kudumu.
Hata siku Moja usitegemee kumtoa mtu nyumbani kwake wewe uwe mtawala wa hiyo nyumba. Msijichoshe Vijana mwendo ni uleule....