Uchaguzi 2020 Chama kinachotaka kuhudumia Watanzania, kinabagua na kuweka nongwa maendeleo yakipelekwa sehemu fulani ya nchi

Ni wilaya gani nyingine umejengwa uwanja wa Ndege wa kimataifa, hata miji makuu ya mikoa mingi haina viwanja kama hicho
Unapotosha; ule siyo uwanja wa kimataifa bali ni regional airport. Ndege za kimataifa zinazoweza kutua pale ni za dignitaries tu ambao wanakuwa cleared on arrival. Huwezi kupata ticket ya kutoka London kwenda Chato bila kuptitia Dar au Kilimanjaro!
 
Wananchi wa Bukoba naomba wawawekee sehemu maalumu Peponi . Leo wamemwambia Meko mubashara kabisa “Hatukutaki” wala hatutakupigia kura! TBC wamekata kipande Meko anabishana na wananchi mapovu yanammwagika tuu! Kwani ni lazima wananchi wakukubali mzee?
 
..na wizara ilipoamua kuna mbunge wa ccm amehoji?

..Magufuli hashindwi kupitisha jambo lake la hovyo bungeni, au mahali popote.
 
uamuzi wa wizara ulikuwa hauwezi kuhojiwa na bunge tena baada ya bajeti kuwa imeshapita. Ilikuwa ni muhimu kwa bunge kuangalia details zote za muswada kabla ya kuupitisha; na hayo ndityo malalamiko ya msingi kuliko kusema kuwa uwanja ulijengwa bila idhini ya bunge.

Halafu magufuli ana political capital, na hiro ndiyo reality ya dunia ya politics. Hata leo Trump ana political capital kubwa na anaabudiwa na akina Cruz, Graham, McConnell na wengine ambao walikuwa wanamwona hafai kabla hajawa rais.
 
Wanaccm wengi hawakubaliani na alivhokifanya Magi chato.Wana chato wana mahitaji mengi muhimu sio ndege na uwanja wa ndege
 
Reactions: BAK
Anasema mkapa alimtoa jalalani sasa miaka yote hiyo alikuwa wapi kupeleka viwanja Chato wakati Mbunge, Lissu endelea kuhoji kwa maslani ya taifa
 
UPUUZI MTUPU!

Haihitaji PhD kujua nani anatufaa kama taifa kuwa Rais. Wengine kwa maneno yao, utawajua tu ndani wamejaza nyongo hatari ila kwa nje anaonekana kutetea watu. Wanasema mengine, wanatenda mengine walafi wa madaraka tu. Mwaka huu lazima wale fundisho.
 
..kwa hiyo unasema HILA zilitumika ktk kupeleka uwanja huo chato.

..kuna malalamiko ya miradi mingi kulundikwa chato ili kumfurahisha mzee.
 
Kuna mfitini zaidi ya huyo anayejiita KICHAA na kuwadhalilisha wanawake? Utakubali mamaako apigwe au kudhalilishwa hivi? Acha ujinga!

Safari hii nakwambia Tz imepatwa na.......

Tunamgombea mfitini Sana aisee
 
Hauna ka clip mh. Na wengine ambao tuna aleji na TBC tuone ?
 
..kwa hiyo unasema HILA zilitumika ktk kupeleka uwanja huo chato.

..kuna malalamiko ya miradi mingi kulundikwa chato ili kumfurahisha mzee.
Kurundika miradi Chato ni kitu kimoja, na kuvunja sheria katika kurundika miradi hiyo ni kitu kingine tofauti kabisa. Walalamikaji wote wanasema imeweka bila idhini ya bunge, jambo ambalo siyo kweli.
 
Mtoa uzi tuthibitishie uraia wako please maana watanzania wana kiwango ccha uwelewa unaoridhisha
 
Kurundika miradi Chato ni kitu kimoja, na kuvunja sheria katika kurundika miradi hiyo ni kitu kingine tofauti kabisa. Walalamikaji wote wanasema imeweka bila idhini ya bunge, jambo ambalo siyo kweli.

..kwa hiyo wewe unaunga mkono kulundika miradi ya maendeleo Chato, huku maeneo mengine ya Geita wakiwa watazamaji?
 
..kwa hiyo wewe unaunga mkono kulundika miradi ya maendeleo Chato, huku maeneo mengine ya Geita wakiwa watazamaji?
hayo hayanihusu kwa sasa, ninachosema ni huu upotoshaji wa kuwa miradi inafanywa bila kuidhinishwa na bunge. Ni afadhali mtu asimame na kusema kwa nini bunge linaidhinisha miradi yote hii kwenda Chato kuliko kupotosha kwa kusema eti serikali imejenga miradi Chato bila kuidhinishwa na Bunge. Kikwete naye alikuwa na miradi ya Bagamoyo ambayo ilipanguliwa kwa technicalities kwa vile utekelzeji wake ulikuwa ni baada ya yeye kutoka madarakani; ni tabia mojawapo ya wanasiasa wengi.
 
..hoja ya msingi ni miradi kulundikwa chato, huku maeneo mengine ya Geita wakiwa watazamaji.
 
Hakika hatuna budi kuwachagua hususani mikoa ya kusini hata Samia kapata jibu kuwa ccm inapoteza wafuasi uku kusini tumetengwa na ccm.
 
Kwani JPM alipokuwa anahutubiwa akiwa jimboni kwa Bwege, alisemaje!? Na alipokuwa huko Musoma, JPM alisemaje juu ya kunyima maendeleo baadhi ya majimbo.!? Tusiwe na double starndard..
 
Walilazimisha hata tawi la CRDB lijengwe huko wakati waweka fedha hakuna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…