Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,566
Nimeona nitoe msimamo wangu!Nilishafanya maamuzi!Hijaulizwa kura yako wapi mkuu.
Ndugai kukaa INDIA?Mbowe na genge lake wanafahamu jinsi Lissu anavyoharibu umoja wa kikundi chao, sasa hivi kila mtanzania anajua lisu ni kibaraka. Kibaya Lisu kukaa belgium kimemuondolea uzalendo.
Kila Mtanzania yupi unamsemea?hakuna anayejua Lisu ni kibaraka kwani huko Sweden hakwenda mwenyewe bali ni unyama wa ccm ulimfikisha hukoMbowe na genge lake wanafahamu jinsi Lissu anavyoharibu umoja wa kikundi chao, sasa hivi kila mtanzania anajua lisu ni kibaraka. Kibaya Lisu kukaa belgium kimemuondolea uzalendo.
Chama ni mdhamini tu, aliyesaini kanuni ni Lissu, barua ilitakiwa aandikiwe Lissu, kumwandikia Lissu hakutafsiri yupo nje ya chama
Chama ni mdhamini tu, aliyesaini kanuni ni Lissu, barua ilitakiwa aandikiwe Lissu, kumwandikia Lissu hakutafsiri yupo nje ya chama
Wanaogopa kukutana na TL uso kwa uso kwahiyo wanatumia njia ndefu kupunguza Kasi. Wangempa barua lazima afike yeye kwenye kamati ya maadili na ajitetee Sasa wamemtengenezea wawakilishi ambao TL anasema hawafahamu
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Thread ya viwanda ipo na mara zote huwa nakuita kule hutokei
Lisu kuokolewa maisha yake na kupewa security nje ya nchi kumbe kumewauma wengi sana, siyo tu lile genge lililopanga shambulio la risasi dhidi yake. Siku hizi hata mahayawani kama wewe mmebaki kuimba neno 'uzalendo' bila kumaanisha mioyoni.Mbowe na genge lake wanafahamu jinsi Lissu anavyoharibu umoja wa kikundi chao, sasa hivi kila mtanzania anajua lisu ni kibaraka. Kibaya Lisu kukaa belgium kimemuondolea uzalendo.
Viwanda mia moja kila mkoa? Au Tanzania ya viwanda? Na viwanda vimejengwa.jingalao,
Hoja zilikuwa ni za viwanda 100@mkoa, lakini unakimbia kila siku. Na mzee wa jazba sasa hivi haongelei ule utapeli wa viwanda kabisa. Sasa tuache kujadili mambo ya msingi tujadili haya Majungu?
Viwanda mia moja kila mkoa? Au Tanzania ya viwanda? Na viwanda vimejengwa.
Mbowe na genge lake wanafahamu jinsi Lissu anavyoharibu umoja wa kikundi chao, sasa hivi kila mtanzania anajua lisu ni kibaraka. Kibaya Lisu kukaa belgium kimemuondolea uzalendo.
Hujui lolote kaa kimya. Leo hii Tanzania inaagiza sabuni toka kama miaka ya nyuma? Mabati hayatengenezwi hapa Tanzania? Misumari, madawa n.kNiliyemjibu anajua ninachokioongea, mjadala huo wa viwanda 100@mkoa tuliuanza februari 2016, nikamwambia 2020 atakuwa mpole. Hakuna Tanzania ya viwanda ndio maana husikii rais akijisifu kwenye hilo. Ni lini viwanda havijawahi kujengwa hapa toka enzi za ukoloni?
Taarifa za chama kumkana mbunge zinatolewa na maofisa wa tume wa Ccm!!!Wanasema ukiwa na mitego na ujuaji mwingi mwisho wa siku utajitega mwenyewe.
Kuna Chama kimeonesha kukana mgombea wake, yaani kumbe anayoyafanya au kuyasema mgombea wake Chama hakiyatambui.
Ni sad story haswa, lakini sisi wapiga kura tunajifunza. Kuna mojawapo ya tweets za mbunge flani zilionekana kukana kile alichokisema mgombea wao ingawa ilikanushwa kwa mashaka.
Leo hii tumepata ushahidi mwingine wa namna gani Chama kinamkana mgombea na kumtwisha zigo zito.
Naona ni namna gani demokrasia inavyochezewa katika hili, yaani udhamini ni wa kwenye karatasi tu na inapokuja takwa la kuwajibika Chama kinakimbia.
Tujadili bila matusi na tuvumilie tunapoambiwa ukweli.