Uchaguzi 2020 Chama kinamkana mgombea?

Uchaguzi 2020 Chama kinamkana mgombea?

Mbowe na genge lake wanafahamu jinsi Lissu anavyoharibu umoja wa kikundi chao, sasa hivi kila mtanzania anajua lisu ni kibaraka. Kibaya Lisu kukaa belgium kimemuondolea uzalendo.
Ndugai kukaa INDIA?
 
Mbowe na genge lake wanafahamu jinsi Lissu anavyoharibu umoja wa kikundi chao, sasa hivi kila mtanzania anajua lisu ni kibaraka. Kibaya Lisu kukaa belgium kimemuondolea uzalendo.
Kila Mtanzania yupi unamsemea?hakuna anayejua Lisu ni kibaraka kwani huko Sweden hakwenda mwenyewe bali ni unyama wa ccm ulimfikisha huko
 
Chadema watuambie kama lengo lao toka awali ni kumtumia Lisu kuharibu amani ya nchi yetu.
 
Umeandika upuuzi mtupu kulikuwa najambo lakimitego lakisheria na sheria nimitego zuzu wewe
 
Chama ni mdhamini tu, aliyesaini kanuni ni Lissu, barua ilitakiwa aandikiwe Lissu, kumwandikia Lissu hakutafsiri yupo nje ya chama

unafkir kuna mgombea binafsi?
ili ugombee urais chama chako ndo kinatambulika na wala sio wewe!
 
vyama vya kisanii utavijua tu,wamemgharimu mgombea wao,wangetia nguvu kubwa yasingetokea haya
 
Chama ni mdhamini tu, aliyesaini kanuni ni Lissu, barua ilitakiwa aandikiwe Lissu, kumwandikia Lissu hakutafsiri yupo nje ya chama

Barua aandikiwe Mh. Tundu Lisu Chama kipewe NAKALA KWA TAARIFA.

NDIYO TARATIBU ZA UANDISHI WA BARUA TAARIFA.

TUME MNAKWAMA VIPI?
 
Wanaogopa kukutana na TL uso kwa uso kwahiyo wanatumia njia ndefu kupunguza Kasi. Wangempa barua lazima afike yeye kwenye kamati ya maadili na ajitetee Sasa wamemtengenezea wawakilishi ambao TL anasema hawafahamu
 
Mbowe na genge lake wanafahamu jinsi Lissu anavyoharibu umoja wa kikundi chao, sasa hivi kila mtanzania anajua lisu ni kibaraka. Kibaya Lisu kukaa belgium kimemuondolea uzalendo.
Lisu kuokolewa maisha yake na kupewa security nje ya nchi kumbe kumewauma wengi sana, siyo tu lile genge lililopanga shambulio la risasi dhidi yake. Siku hizi hata mahayawani kama wewe mmebaki kuimba neno 'uzalendo' bila kumaanisha mioyoni.
Wananchi tunawatambua kwa matendo yenu maovu ya sirini na ya wazi, siyo kwa maneno yenu matamu ya midomoni. Tupo macho.
 
jingalao,

Hoja zilikuwa ni za viwanda 100@mkoa, lakini unakimbia kila siku. Na mzee wa jazba sasa hivi haongelei ule utapeli wa viwanda kabisa. Sasa tuache kujadili mambo ya msingi tujadili haya Majungu?
Viwanda mia moja kila mkoa? Au Tanzania ya viwanda? Na viwanda vimejengwa.
 
Viwanda mia moja kila mkoa? Au Tanzania ya viwanda? Na viwanda vimejengwa.

Niliyemjibu anajua ninachokioongea, mjadala huo wa viwanda 100@mkoa tuliuanza februari 2016, nikamwambia 2020 atakuwa mpole. Hakuna Tanzania ya viwanda ndio maana husikii rais akijisifu kwenye hilo. Ni lini viwanda havijawahi kujengwa hapa toka enzi za ukoloni?
 
Mbowe na genge lake wanafahamu jinsi Lissu anavyoharibu umoja wa kikundi chao, sasa hivi kila mtanzania anajua lisu ni kibaraka. Kibaya Lisu kukaa belgium kimemuondolea uzalendo.

Umsemee jiwe na lb7 wenzio! Ninahusika vipi kwenye tathmini yako ya kimburula hiyo?
 
Niliyemjibu anajua ninachokioongea, mjadala huo wa viwanda 100@mkoa tuliuanza februari 2016, nikamwambia 2020 atakuwa mpole. Hakuna Tanzania ya viwanda ndio maana husikii rais akijisifu kwenye hilo. Ni lini viwanda havijawahi kujengwa hapa toka enzi za ukoloni?
Hujui lolote kaa kimya. Leo hii Tanzania inaagiza sabuni toka kama miaka ya nyuma? Mabati hayatengenezwi hapa Tanzania? Misumari, madawa n.k
 
Hakuna pushup mwaka huu, spana za Lisu zimevuruga mtu kila baada ya siku 3 anarudi garage.
Kwa sasa anapumua kwa msaada wa tume,msajili na policcm.
Kufikia October 28 atakuwa chini ya futi kabisa
 
Wanasema ukiwa na mitego na ujuaji mwingi mwisho wa siku utajitega mwenyewe.

Kuna Chama kimeonesha kukana mgombea wake, yaani kumbe anayoyafanya au kuyasema mgombea wake Chama hakiyatambui.

Ni sad story haswa, lakini sisi wapiga kura tunajifunza. Kuna mojawapo ya tweets za mbunge flani zilionekana kukana kile alichokisema mgombea wao ingawa ilikanushwa kwa mashaka.

Leo hii tumepata ushahidi mwingine wa namna gani Chama kinamkana mgombea na kumtwisha zigo zito.

Naona ni namna gani demokrasia inavyochezewa katika hili, yaani udhamini ni wa kwenye karatasi tu na inapokuja takwa la kuwajibika Chama kinakimbia.

Tujadili bila matusi na tuvumilie tunapoambiwa ukweli.
Taarifa za chama kumkana mbunge zinatolewa na maofisa wa tume wa Ccm!!!

Kama Chama kinamkana kwa nini wasifanye press conference wamkane wao!!!

Hizo hila na propaganda zenu CCM na vyombo vyake wala hazitusumbui
 
Back
Top Bottom