Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Hujui lolote kaa kimya. Leo hii Tanzania inaagiza sabuni toka kama miaka ya nyuma? Mabati hayatengenezwi hapa Tanzania? Misumari, madawa n.k
Hizo bidhaa ulizotaja zilianza kutengenezwa na viwanda vya hapa hapa, kabla hata Magufuli hajaingia madarakani. Kama ni Tanzania ya viwanda basi ilikuwa ni kabla ya Magufuli kuingia madarakani kwa huo muktadha wako. Hizo bidhaa zinaingia hapa nchini kutoka nje, na zitaendelea kuingia kutokana na utandawazi, na sio kwasababu hakuna viwanda vya bidhaa hizo.